Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

Sasa kusimamishwa saa moja ndo umeamua uandike thread kabisa kua na heshima na raisi mbona hafanyi ziara siku zote?
 
Vp Hilo zali lingekuangukia!
Ungeandika hivi[emoji23][emoji23]

Ova
 
Kama leo katuchelewesha sana tunaoingia ofisini kwa kusign timesheet..... Kama anasafari zake awe anaanza at least saa nne asubuhi ili kupunguza kero
Ukiwa rais tz hupangiwi nini kufanya
Kumbuka Rais yuko juu ya sheria
Anaamua chochote na kufanya lolote

Ova
 

Mbona hko nchi za wenzetu rais anapita na wananchi wanaendelea na shughuli zao
Hku kwetu tunashindwa nn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah bora wali tembele kuliko walimwengu rais huyu hatembei mmesahau utawala wa jk hata waziri wa kilimo msafara kama anaenda kuposa jaman kua na heshima na raisi wangu
Bora wali tembele kuliko wali na mwengu! Dah!
 
Kama unadhani ni sawa basi na Raia weneye fedha wagawe hivyo hivyo uone TRA na vyombo vya ulinzi vitakavyo wazonga.
Vp Hilo zali lingekuangukia!
Ungeandika hivi[emoji23][emoji23]

Ova
 
Sawa, yeye yuko juu ya sheria

Ova
Kiongozi wa nchi anakuwa kiongozi kwa madaraka aliyopewa na kwa muda aliopewa kisheria, lakini hili halimfanyi kuwa juu ya sheria zote za nchii hii! Tusitafsiri hivyo, nafikiri tatizo lipo kwenye vyombo vyetu vya usalama kushindwa kungamua nini cha kufanya kwa wakati, Rais ni lazima afanye ziara, na kipindi hiki ziara zitazidi sana, usahuri ni kwa vyombo vya usalama kuwa na mpango mkakati wa kuhakikisha rais anasafiri salama lakini wakati huohuo wananchi wanaendelea na kazi zao kama kawaida pasipo kukwazana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…