Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

Hii ni ishara ya ukosefu wa mabadiliko kwa watoa huduma ya afya. Kama kuna changamoto yoyote nazani sehemu sahihi ya kuwasaidia wajawazito na wenza wao ni kwenye kliniki na sio hapa. Vinginevyo wizara ya afya vitengo vya uzazi vipeleke hii elimu kunakohusika. Ila haijakaa poa kwa kada ya afya. Mtoa huduma ya afya ni msiri wagonjwa.
 
Hili swala aje alitolee ufafanuzi Binti wa zamani, aeleze kwa nini zamani mpaka sasa akina mama wajawazito hawanyoi sehemu zao za siri hasa wanapokaribia kujifungua,hospitali wanaenda na mavuzi yao. Kero hii inamsumbua Daktari wa manesi
  1. Mimi siyo msemaji wa akina mama wajawazito, labda mabinti wa age ya kuzaa akina Joanah , waifu material au cocastic waje watoe neno.

  2. Pili, nina uhakika huyu mleta mada siyo mfanyakazi wa sekta ya afya, si ajabu huu upumbavu aliouandika ameuokotea huko vijiweni kwa wavuta bangi wenzake.

    Ni hayo tu Emmy wangu 🫶
 

Binafsi kama wewe tu Binti wa zamani ..sio msemaji wa akina mama
Hata hivyo bado sijawahi kumiliki tumbo la mimba
 
Hao hata ningekua mimi ningewazabua makofi, km kashindwa kutunza mknd wake je, mtoto ataweza..??

Muwe mnaniita niwasaidie kucharaza mikwaju PUMBAVU KABISAA 😡
 
Hii mbaya
 
Sasa umeandika nini? Kapotosha wapi? Mambo usiyoyajua wachana nayo dogo
 
Wewe ni daktari wa hovyoooooooooo.
 
Kuna wamama wanapenda na wapo comfortable kujifungulia kwa wakunga wa jadi sababu ya customer care ya kunyolewa kwa upendo bure na kupewa chai na maji ya moto.
Wanyoeni minyuchi mingine inatisha bwana, unakuta jeusi km kitumbua kilichoungua halafu limekeketwa plus hilo vuzi.. hapana wanyoeni msiwape kero wakunga..!!
 
KWANI mavuzi si ni nywele tu Kama nywele zingine kwani nyie shida yenu ni Nini basi Kama vpi pigeni na picha kabisa Mana aaaaaah munakera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…