Natoka mbeya ni kweli huu uhuni upo sana mbaya zaid wanafosi balaa alafu wanaokusanya hizo pesa walio wengi ni wavuta bangi ,nenda uyole ,Isanga ,makunguru ,Ilemi darajani ,kabwe yaan ni balaa .
Ifike mahali Hawa viongoz wakemee huu ujinga unalichafua jiji letu ,Mambo yanayofanyika ni ya kizaman sana ,mbaya zaid Kuna viongoz wa mitaa ,kwann hili swala lisiwe la kivitongoji? Au Kama ni mfanyabiashara wa sehem fulan wahusika wa huko ndio wachangishwe na sio kuzinguka kubana bana watu.
Mm naamin hii ni miladi ya watu na washafanya Kama sehem ya kupatia kipato ,uhuni huu haukubalik ,Kama Kuna mkuu wa mkoa hapa jf alifanyie kaz hili apige marufuku maana lishakuwa tatizo sugu nasema Tena hii ni miladi ya wahuni kujipatia pesa kirahis rahis na hata wakikusanya hizo pesa hazifiki zote kwenye tukio wanakuwa na daftar mbili ,baada ya makusanyo wanakaa Tena upya kuandika idad ya majina wanayoona inafaa kuwasilishwa kwenye msiba huku wakitoa Chao Kwanza.
Pia Hilo swala wanalifanya sana wasafwa sema kwavile wanyakyusa ni kabila kubwa basi wanabeba hizi lawama ila ukweli ni kwamba wanaofanya huu upumbavu ni wasafwa