Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Kijana ukimaliza probation yako ya miezi isiyopungua 9 ndio utaelewa kiasi fulani taratibu za kiserikali...Hata
niliporipoti na barua ya kupangiwa kituo ilikuwa ni rasmi na ni lazima igharimiwe!! Ni kwa kigezo kipi unasema sijaripoti rasmi wakati nilikuwa barua rasmi inayonitaka niripoti ndani ya siku 14 vunginevyo nafasi yangu atapewa mwingine? Hivi haiwezekani kuwa na utaratibu rafiki usiokuwa na usumbufu?
Hapo Kwa mdada unataka uanze ugomvi na mkeoMtu ambaye yupo pwani mkuranga na anateseka aje nyumbani kwangu akae Hadi atakapo itwa kazini.Namaanisha mtu ambaye ametokea mkoani sio aliopo Dar .Utakula utalala pazuri na ukihitaji kwenda mjini kama nauli ipo ntakupa mara Moja Moja kama unaenda mjini.Mimi ni Me na Niko nafamilia yangu.Sijali ke au Me, yeyote anayesumbuka.Hatutahitaji malipo yoyote kutoka kwako.Karibu sana
Ukisoma Barua Ile ya kupangiwa Kituo inamtaka mwajiri afanye uhakiki Wa vyeti vyako Kwanza ndipo akupokee rasmi. Nadhani hicho ndo kinakula muda
Mkuu hapana,Mimi nimelsaidia watu wengi sana nikiwa na mke wangu so worry not.Anayepata shida wa mkoani siyo wa mjiniHapo Kwa mdada unataka uanze ugomvi na mkeo
Ndugu yangu Mstaafu;Kwa taarifa yako mimi ni mtumishi umma mstaafu!! Ninaandika hapa kwa maufaa mapana ya watanzania wanaonyanyasika kwenye ajira mpya!! Nimeandika kwa kirefu ili kutoa picha halisi ya tatizo. Shida ni kwamba kuna vwatu ni wavivu hata kusoma nusu ukurasa wanaona ni taabu!! Ila kitu kizuri ni kwamba wewe ni mvivu pekee kati ya wasomaji karibu kama 40 hivi!!
Hilo kokoro linaloitwa serikali linakera sana . Hapo unatakiwa ulipowe nauli ya kwenda na kurudi na pesa ya kulala mpaka zoezi likamilike. Wewe na wategemezi wako Na pesa ya ya kusafirishIa mizigo yakoInawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine! Hii inmfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa kukopa toka huko aliko na kusafiri hadi kituo alichopangwa. Akifika huko wanakagua vyeti vyake halisi, na kujaza taarifa zake binafsi kisha huambiwa RUDI NYUMBANI NA TUKIKAMILISHA TARATIBU ZA AJIRA TUTAKUITA KWA SIMU!! Hapo wameshamaliza na unatoka ofisini bila hata senti moja! Hawajali utalala wapi na utakula wapi na usalama wako ni upi! na utasafiri vipi na utarudi tena vipi!! Niliposikia kwa mara ya kwanza kwa mtu aliyekuwa amepangiwa halmashauri moja huko tabora sikuamini kuwa huo ndio utaratibu!! Nilifikiri ni roho mbaya tu ya wahusika huko halmashauri ya tabora!! Juzi juzi kuna dogo alipata nafasi katika moja ya manispaa za Dar. Naye aliporipoti alipokelewa na kukaguluiwa vyeti vyake na kujaza fomu za personal particulars na kuambiwa arudi hadi atakapopigiwa simu! Ni wiki nimepita sasa na bado hajapigiwa simu na anajibanza tu kwa watun na hajui hadi lini!! Huu utaratibu una usumbufu sana!! Ninachofahamu watu huitwa wakati serikali imeshafanya maandalizi tayari ya kuwapokea na kuwahudumia!! Yaani kijana amesota na interview kibao kwa gharama kubwa sana ya nauli, malazi na chakula, sasa ameitwa kwenye ajira bado anasoteshwa! Niwaulize nyie mnaowafanyia hivyo wenzenu mnajua masaibu wanayopambana nayo wanaposubiria? Wengine wanalala kwenye vituo vya mabasi kwa kukosa pesa za gesti na nauli ya kurudi tena nyumbani hawana! Tafadhali angalau siku wanaporipoti wapeni zile posho za kujikimu zilizopo kisheria ili ziwalinde wanaposubiria!
Mimi nina mfano wa vijana wawili.Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine! Hii inmfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa kukopa toka huko aliko na kusafiri hadi kituo alichopangwa. Akifika huko wanakagua vyeti vyake halisi, na kujaza taarifa zake binafsi kisha huambiwa RUDI NYUMBANI NA TUKIKAMILISHA TARATIBU ZA AJIRA TUTAKUITA KWA SIMU!! Hapo wameshamaliza na unatoka ofisini bila hata senti moja! Hawajali utalala wapi na utakula wapi na usalama wako ni upi! na utasafiri vipi na utarudi tena vipi!! Niliposikia kwa mara ya kwanza kwa mtu aliyekuwa amepangiwa halmashauri moja huko tabora sikuamini kuwa huo ndio utaratibu!! Nilifikiri ni roho mbaya tu ya wahusika huko halmashauri ya tabora!! Juzi juzi kuna dogo alipata nafasi katika moja ya manispaa za Dar. Naye aliporipoti alipokelewa na kukaguluiwa vyeti vyake na kujaza fomu za personal particulars na kuambiwa arudi hadi atakapopigiwa simu! Ni wiki nimepita sasa na bado hajapigiwa simu na anajibanza tu kwa watun na hajui hadi lini!! Huu utaratibu una usumbufu sana!! Ninachofahamu watu huitwa wakati serikali imeshafanya maandalizi tayari ya kuwapokea na kuwahudumia!! Yaani kijana amesota na interview kibao kwa gharama kubwa sana ya nauli, malazi na chakula, sasa ameitwa kwenye ajira bado anasoteshwa! Niwaulize nyie mnaowafanyia hivyo wenzenu mnajua masaibu wanayopambana nayo wanaposubiria? Wengine wanalala kwenye vituo vya mabasi kwa kukosa pesa za gesti na nauli ya kurudi tena nyumbani hawana! Tafadhali angalau siku wanaporipoti wapeni zile posho za kujikimu zilizopo kisheria ili ziwalinde wanaposubiria!
Hii nchi bado kuna ujinga ujinga mwingi sana usio na sababu.Hicho ni kisingizio tu!! 1. Vyeti vilivyopandishwa kwenye mfumo vimethibitishwa kisheria na mahakama au wakili. 2. Wakati wa usaili (written interview) wahusika walikagua vyeti halisi kwa kuwatumia watu wenye utaalam wa kuhakiki vyeti na wanakula posho kwa kazi hiyo.
3. Wakati wa usaili wa oral walikagua tena vyeti na kuvihakiki!!
4. Wakati unaporipoti kituoni ulikopangiwa ajira unaenda na vyeti halisi wanavikagua, wanavihakiki na kuchukua nakala yake.
Kwa hiyo vyeti vimehakikiwa mara nne!! Hakuna sababu ya kudai bado wanahakiki tena!! Vinginevyo kabla ya placement kwa kuwa vyeti vipo kwenye mfumo wa ajira basi vitumwe NECTA na kwenye vyuo walikosoma vihakikiwe na zoezi hilo ni jepesi na la haraka sana. Kisha ndio watoe placement!! Watanzania wanatesana kwa visingizio visivyokuwa na sababu!!
Naomba nijibu kama ifuatavyo....unakuwa bado hujaingizwa kwenye mfumo, na mpaka uingizwe kwenye mfumo anaweza kuchukua mwezi au ndani ya miezi miwili ili upate mshahara wako, ili upate mshahara wako inabidi utumishi wa approve taarifa zako, kwa kuzikagua kiundani ili tusipate udanganyifu......kwa kuwa hakuna bajeti Yako ya kujikimu kwa mda ule,ndio maana tunakwambia kuwa kakae kwanza nyumbani mpaka tukupigie simu....jamani sio kwa ubaya,maana hakuna wa kukulisha hapa mjini.....kama hamuamini kawaulize walimu wanavyopata ajira,wanakaa zaidi ya mwezi ndio wanaingiziwa mshahara wao..muda wote huwa wanahudumiw na wakuu wa shule mpaka wanapopata mishahara Yao kwa mara ya kwanza.....alisikika HR mmoja wa michango.
Taratibu za serikali nazijua sana!! Mimi ni mumishi wa umma mstaafu!! Niliajiriwa katika utumishi wa umma mwaka 1986 baada ya kuhitimu chuo kikuu cha Dar, na nimestaafu mwaka 2019!! Kinachofanyika sio taratibu za utumishi wa umma bali uhuni. Taratibu za utumishi wa umma zinaongozwa na Government standing orders toleo la 2009 na marekabisho yake ya mwaka 2011!! Huo utaratibu wa mtu kuripoti kazini kwa wito rasmi halafu unarudishwa nyumbani bila kuhudumiwa kwa lolote ni uhuni wa watu!! Naomba unukuu hapa waraka wowote rasmi wa serikali unaoelekeza hivyo!!Kijana ukimaliza probation yako ya miezi isiyopungua 9 ndio utaelewa kiasi fulani taratibu za kiserikali...
Nimekupa hints muhimu za kukuongoza otherwise fanya unavyotaka wewe kwa experience ya kukaa home na story za vijiweni...
Basi wako ni mwelewa Kuna mtu alikuwa wakusaidia mkewe alijua ni mdada anaenda kuharibu uko sasa sijui ndio uchawi na roho mbayaMkuu hapana,Mimi nimelsaidia watu wengi sana nikiwa na mke wangu so worry not.Anayepata shida wa mkoani siyo wa mjini
Nyie vijana hamjitambui muwe mnauliza ili mpate kujua mambo, ukienda kuripoti kituo cha kazi ukiambiwa rudi nyumban tena inabidi ushukuru umepewa muda wa kujiandaa vzuri kwa maisha mapya... Hapo maana yake umepewa siku sio chini ya 14 kurudi kujiandaa... Hapo maana yake rudi kavute pumzi wakat wanajiandaa kukuingiza ktk mfumo wa Payroll... Hapo maana yake hawajataka ubaki kazini wakat taratibu za stahiki zako kama mtumish hazijakamilika, kumbuka mifumo ya serikal inafanya kazi kwa mawasiliano na documents sahihi... As long as umetoa namba zako za cm na email sahihi tuliza komwe lako nyumban utaitwa... Halafu pia ukiripoti kituoni na kuambiwa rudi utapigiwa cm ni vizuri uombe namba ya wahusika acheni uoga wa kijinga... Zamani watu walikua wanaripoti kituoni wanaanza kazi then mishahara inachelewa hata miezi 3 unaishi vipi..? Ndiyo maana sikuhiz wanachukua taarifa zako zote wakishakamilisha taratibu ndio unaitwa kazini... Serikal sio private sector... All in all mkipata kazi fanyeni kazi kwa bidii weledi uaminifu na mkubali kujifunza kazi kwa waliotangulia na kamwe msiige tabia mbaya mtakazozikuta kwasabab kilamtu kaingia kazini na anafanya kazi kwa malengo take binafsi...
Mimi ni msema kweli!! Kama kusema kweli ni umbea sawa!!Jamaa unajua kulalamika unaandika gazette wewe unachembe chembe ya umbea
Ingetakiwa akae hotelini siku zote hzo akisubiriaMimi nina mfano wa vijana wawili.
Waliitwa kazini na kurudi.
Nlipongea nao kila mmoja anasema aliambiwa taratibu za mshahara zitachelewa hivyo either ajaze fomu ya ruhusa kurudi mpk atakapopigiwa au aendelee na kazi huku akisubiri taratibu za mshahara.
Mmoja aliitwa Baada ya miezi miwili, mwingine Baada ya km wiki tano na wote waliingiziwa mishahara yao yote walipofika tu