Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Kijana ukimaliza probation yako ya miezi isiyopungua 9 ndio utaelewa kiasi fulani taratibu za kiserikali...Hata
niliporipoti na barua ya kupangiwa kituo ilikuwa ni rasmi na ni lazima igharimiwe!! Ni kwa kigezo kipi unasema sijaripoti rasmi wakati nilikuwa barua rasmi inayonitaka niripoti ndani ya siku 14 vunginevyo nafasi yangu atapewa mwingine? Hivi haiwezekani kuwa na utaratibu rafiki usiokuwa na usumbufu?
Nimekupa hints muhimu za kukuongoza otherwise fanya unavyotaka wewe kwa experience ya kukaa home na story za vijiweni...