Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Msijali mambo yatakua poa. Kikubwa mtangulize Mungu mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati unaomba kazi wangekwambia kama utahitaji kulipiwa nauli na serikali ya kuja kuripoti na kurudi basi usiombe kazi nawaza tu ungeomba au usinge omba hiyo kazi.Kama ni hivyo basi apewe nauli aliyotumia kuripoti kwa mujibu wa maagizo aliyopewa kwenye barua, kisha apewe nauli ya kurudi nyumbani akisubiri kuitwa tena!!
Hayo ni mawazo mfu!! Utumishi wa umma unaongozwa Government standing orders na siyo matakwa ya mtu!! Haki za waajiriwa wapya lazima zilindwe! Kulipiwa nauli mwajiriwa anaporipoti kazini ni takwa la kisheria!!Wakati unaomba kazi wangekwambia kama utahitaji kulipiwa nauli na serikali ya kuja kuripoti na kurudi basi usiombe kazi nawaza tu ungeomba au usinge omba hiyo kazi.
Si awasiliane na mamlaka husika. Humu jf raia wanakukebehi wanalala mbele...a follow complaints channel sahihi ahudumiweHuwezi kuamini!! Vijana wanapambana sana na kujipa moyo kuwa kwa kuwa ni wanaume acha wapambane!! Kwa wale vijana wa kike wengine wao hujikuta wamelazimika kujirahisisha ili kupata ufadhili wa malazi na chakula wakati wanangoja hizo simu za miungu watu!! Wale wakiume wengine hushindia mkate wa buku na maji ya viroba na kulala popote hata kwenye stendi ya bus!! Ni mbaya sana na sijui kama huu utaratibu una baraka zote za serikali!! Wanaoga kwenye vibanda vya vyoo za kulipia!
Wewe fikiria kwa mfano yule aliyekuwa anabangaiza Dar na kisha kupata ajira Tabora!! anakopa nauli kwa ahadi kuwa akipata posho ya kujikimu atarudisha bpesa za watu!! Halafu anaripoti tabora na kuambiwa asubiri hadi apigiwe simu!! Nauli ya kurudi hana!! Hizo pesa kidogo alizobakiza anaona ni afadhali azitumie kwa kula chochote ili mradi aendelee kuwa hai na hajali analala wapi!! sawa wanavumilia hasa kwa kuwa wanajua mateso yanaelekea mwisho. Lakini je ni lazima watendewe hivyo? Haiwezekani kuwa na utaratibu ulio rafiki?
Mkisha pataga ajira ndio huwa mnaanza kujifanya mnajua standing order hayo huwa hatuyasikii wakati mna haha na bahasha mtaani 😂 nawaza tu mwenyewe kwa maandishiHayo ni mawazo mfu!! Utumishi wa umma unaongozwa Government standing orders na siyo matakwa ya mtu!! Haki za waajiriwa wapya lazima zilindwe! Kulipiwa nauli mwajiriwa anaporipoti kazini ni takwa la kisheria!!
Kwani hao utumishi hadi wanakupa ajira hawakuhakiki hivyo vyeti?tuache ukiritimba aisee.....waliopewa dhamana ya kisaili watu waaminike na taratibu zifanyike punde tu unavyopewa barua mtu aingizwe kwenye mfumo wa payroll.Ukisoma Barua Ile ya kupangiwa Kituo inamtaka mwajiri afanye uhakiki Wa vyeti vyako Kwanza ndipo akupokee rasmi. Nadhani hicho ndo kinakula muda
[emoji23][emoji28] sasa mbona unajichanganya mwenyew tena... Unapewa vipi barua wakat tayar ulipata barua ya ajira... Halafu sasa ukitaka twende kwa utaratibu basi yeye ndiye alipaswa kuandika barua ya kukiri kufika kituoni na kuruhusiwa kurudi nyumban kusubiri taratibu nyingine za kikazi... Vijana msi complicate mambo ya kiserikali hayahitaji papara, by the way hakuna wa kuwazurumu stahiki zenu...
Zamani watu walikua wanaripoti kituoni na wanalipwa stahik za muhimu kama nauli na pesa za mizigo kusafirisha utokapo, tatizo likaja kuonekana wengi hawarudi tena... Anyways all in all kuweni wapole
Ni kweli kwa sasa huo ndio utaratibu, lakini je ni utaratibu mzuri? je ni utaratibu wa haki?. Huu utaratibu umezingatia kuepusha tatizo moja la mwajiriwa kukaa muda mrefu kazini kabla ya kuingizwa kwenye pay roll ya serikali ambapo pia ilikuwa inaleta usumbufu sana. Lakini huu utaratibu haukuzingatia matatizo anayoyapata mwajiriwa kambiwa arudi nyumbani hadi apigiwe simu wakati nyumbani ni mbali na pesa za kurudi nyumbani hana, na pesa za kujikimu hana!!nikujibu kwa uzoefu,
1. mara nyingi hizi ofisi hazina pesa kwa ajili posho ya kujikimu ambayo anapaswa apewe muajiriwa mpya.
2. na ndiyo maana ukishajaza fomu ya maelezo yako binafsi wanakuambia utapigiwa simu lengo lao ni kuwa ukishaingia kwenye mfumo wa mishahara hazina ndiyo unaitwa rasmi ukaanze kazi.
kwa ofisi ambazo mahitaji ya watumishi ni ya haraka na zina fedha unaweza pewa posho ya kujikimu au ikibidi unapewa advance salary ila kwa ofisi zinazotegemea pesa toka hazina hizi mara nyingi hufanya kama nilisema pale juu.Ni kweli kwa sasa huo ndio utaratibu, lakini je ni utaratibu mzuri? je ni utaratibu wa haki?. Huu utaratibu umezingatia kuepusha tatizo moja la mwajiriwa kukaa muda mrefu kazini kabla ya kuingizwa kwenye pay roll ya serikali ambapo pia ilikuwa inaleta usumbufu sana. Lakini huu utaratibu haukuzingatia matatizo anayoyapata mwajiriwa kambiwa arudi nyumbani hadi apigiwe simu wakati nyumbani ni mbali na pesa za kurudi nyumbani hana, na pesa za kujikimu hana!!
Wangefanya hivi: Wanapomwabia arudi nyumbani hadi atakapoitwa kwa simu, wamwezeshe kurudi nyumbani kwa maana ya kumrudishia nauli aliyotumia kuripoti na kumpa nauli ya kurudi nyumbani!! Hapo wataeleweka!!
Kwa kweliHicho ni kisingizio tu!! 1. Vyeti vilivyopandishwa kwenye mfumo vimethibitishwa kisheria na mahakama au wakili. 2. Wakati wa usaili (written interview) wahusika walikagua vyeti halisi kwa kuwatumia watu wenye utaalam wa kuhakiki vyeti na wanakula posho kwa kazi hiyo.
3. Wakati wa usaili wa oral walikagua tena vyeti na kuvihakiki!!
4. Wakati unaporipoti kituoni ulikopangiwa ajira unaenda na vyeti halisi wanavikagua, wanavihakiki na kuchukua nakala yake.
Kwa hiyo vyeti vimehakikiwa mara nne!! Hakuna sababu ya kudai bado wanahakiki tena!! Vinginevyo kabla ya placement kwa kuwa vyeti vipo kwenye mfumo wa ajira basi vitumwe NECTA na kwenye vyuo walikosoma vihakikiwe na zoezi hilo ni jepesi na la haraka sana. Kisha ndio watoe placement!! Watanzania wanatesana kwa visingizio visivyokuwa na sababu!!
Yamenikuta mm hapa Nina mwezi na simu sijapigiwaUkipata placement kitu Cha muhim ni kwenda kuripoti kituo Cha KAZI. Taratbu za vyeti zikiisha inabidi urudi ulikotoka na uendelee kutafta pesa zako had utakapopigiwa simu. Kuna watu hikaa hata mwez mzma na sehm Kisha ndo wanapigiwa simu.
Na huo ndio mfumo ulivo.
Kwahiyo hapa mkuu siku ukiitwa hamna pesa yoyote ya kujikimu utakayopewa?.nikujibu kwa uzoefu,
1. mara nyingi hizi ofisi hazina pesa kwa ajili posho ya kujikimu ambayo anapaswa apewe muajiriwa mpya.
2. na ndiyo maana ukishajaza fomu ya maelezo yako binafsi wanakuambia utapigiwa simu lengo lao ni kuwa ukishaingia kwenye mfumo wa mishahara hazina ndiyo unaitwa rasmi ukaanze kazi.