Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

mbona kwenye simu zenu ringtone ni nyimbo hizo hizo za injili?
 
Mabasi ya kwenda Tanga mengi yanapiga nyimbo za kiarabu

Hii umesababisha watu wasio waumini wa kiarabu wamekuwa wakizikwepa hizo basi

Iko hivi maudhui ya kiislam hayasikiliziki kwasababu siku zote yanahimiza chuki
Wasio waumini wa kiarabu, rekebisha sentesi, kuna waarabu wakristo pia
 
Nunua lako, weka adhana 24x7, kama wakristo watakuuliza....
 
Kwa hiyoo kwa akili zako unataka waweke kaswidaa!!?,,ili majini yaangushe gari
 
Hawa watu watakuja kujuta sana
 
Tembea kwa miguu, au nunua gari lako..
 
Ni Kinga dhidi ya ajali na matatizo mengine ya barabarani maana ukishalitaja jina TAKATIFU la Yesu majini YOTE yanayosababisha ajali husambaratika. Sasa Kuna dini nyingine Wana Aya na sura za majini kwenye vitabu vyao ukiweka kwenye gari si unayavutia mapepo wachafu hayo?
 
Hizi ni swaga kama swaga zingine tu🚮
 
Mabasi ya kwenda Tanga mengi yanapiga nyimbo za kiarabu

Hii umesababisha watu wasio waumini wa kiarabu wamekuwa wakizikwepa hizo basi

Iko hivi maudhui ya kiislam hayasikiliziki kwasababu siku zote yanahimiza chuki
Umeandika ujinga
 
Ulicho andika nafikiri pia wewe ni pepo mchafu
 
Dini msizifate kwa mihemko. We muislam mwenye gari kaweka injili, isikusumbue, we mkristu mwenye gari kaweka kaswida ama quraan, ama mawaidha, isikusumbue fanya yako. Umeshindwa kabisa usipande gari hilo siku nyingine.
 
Wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani ni Wakristo .Waislamu ni wachache mno waweza Kuta basi Zima wako wawili tu

Waislamu si watu wa kusafiri mikoani.Hata kwenye ndege za Tanzania wapandaji wengi ni Wakristo
Thibitisha .
 
Nani amekudanganya hivyo?!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…