A
Anonymous
Guest
Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi Januari.
Kila tunapowasiliana na Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA), tunaambiwa watawatuma wahandisi, lakini hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana. Kila siku tunaona mitaro ikichimbwa, lakini hatuelewi hasa kinachoendelea wala lini tatizo litatatuliwa.
Kutokana na hali hii, tumelazimika kununua maji kila siku, jambo linalotuongezea gharama kubwa za maisha. Cha kushangaza ni kwamba mwisho wa mwezi tunatumiwa bili za maji na ujumbe wa kukumbushwa kulipa, wakati huduma yenyewe hatupati. Tunaomba