Rasimu ya Warioba iliona yote haya. By the way msemaji wa Tanganyika ni nani?Huku tanganyika zimejaa ng'ombe
Nchi moja vitambulisho viwili. Kama huna kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi huwezi kuajiriwa Zanzibar. Cha nida tupa kuleUjinga mtupu!
Wazenji ruksa kuajiriwa bara ila wabara no kama sio ujinga nini huu
Tanganyika haina msemaji. Watoto wa viongozi hawana shida ya ajira. Huwezi kuwakuta uwanja wa taifa wakigombea nafasi 10.Mimi nafahamu Wazanzibar kadhaa wapo TANAPA,AUWSA..... sasa sijui huu ujinga utamalizika lini !.
Hii kero kaitatua upande wa Zanzibar lakini kazalisha kero upande wa Tanganyika hizo hesabu sijui formula gani imetumika.
Kasoro mimi tu.Huku tanganyika zimejaa ng'ombe
Imani ni bayana ya mambo yasioonekanaMambo ya muungano hua yanaendeshwa kiimani zaidi...
Kwani hujui nchi yenu inaongozwa na serikali ya muunganoUjinga mtupu!
Wazenji ruksa kuajiriwa bara ila wabara no kama sio ujinga nini huu
Walaaniwe CCM kuikataa rasimu ya WariobaKwani hujui nchi yenu inaongozwa na serikali ya muungano
Hamna serikali ya Tanganyika yenu Kama walivyo zanzibar
Huko kuna kitengo maalumu kwa Kazi hiyo,kama una kinyongo jifieNikiwa natazama TBC kipindi mwaka mmoja wa awamu ya sita. Moja kati ya mafanikio ni kupatiwa suluhisho kwa kero za Muungano na kero hiyo ni " Ajira za Zanzibar kwenye taasisi na wizara za muungano" Hii kero ndani ya mwaka mmoja imeshapatiwa suluhisho. Hii kero imepatiwa suluhisho ndani ya muda mfupi mno. Hatujasikia tume ikiundwa wala ikiwasilisha mapendekezo yake. Nani hasa huwa wanakaa na kuamua haya?
Hivi kero za Muungano ni upande wa Zanzibar tu?
Kwani nchi ya Tanganyika inatajwa katika katiba kama sehemu ya JMT? Je! Ni nani hasa kwa hivi sasa anaweza kuzungumzia maslahi ya Tanganyika ama Watanganyika!?Nikiwa natazama TBC kipindi mwaka mmoja wa awamu ya sita. Moja kati ya mafanikio ni kupatiwa suluhisho kwa kero za Muungano na kero hiyo ni " Ajira za Zanzibar kwenye taasisi na wizara za muungano" Hii kero ndani ya mwaka mmoja imeshapatiwa suluhisho. Hii kero imepatiwa suluhisho ndani ya muda mfupi mno. Hatujasikia tume ikiundwa wala ikiwasilisha mapendekezo yake. Nani hasa huwa wanakaa na kuamua haya?
Hivi kero za Muungano ni upande wa Zanzibar tu?
Wazenji wanaongoza Nchi mbili. Tuvumilie tu
Wazenji wanaongoza Nchi mbili. Tuvumilie tu
Na ardhi ya bara wazenj wanamiliki ila m bara huruhusiwi kumiliki kwaoUjinga mtupu!
Wazenji ruksa kuajiriwa bara ila wabara no kama sio ujinga nini huu
Kama imani ya Kiislam au Kikristo?Mambo ya muungano hua yanaendeshwa kiimani zaidi...