Kero ya Muungano iliyotatuliwa ndani ya mwaka mmoja

Kero ya Muungano iliyotatuliwa ndani ya mwaka mmoja

Nilishangaa sana hata TBC siku ya Uhuru Tanganyika wanaandika " SHEREHE ZA UHURU"
Wanakwepa neno Tanganyika.
Mwenge wa Uhuru ama kweli umetupumbaza Wadanganyika. Nchi mbili zinaungana na kubakia na serikali mbili zinazotambulika ndani ya muungano!
 
Tanganyika yamejaa mbumbumbu wajanja kutoka visiwani tunawatala machogo
 
Back
Top Bottom