L Leverage JF-Expert Member Joined Jan 25, 2021 Posts 2,125 Reaction score 3,150 Mar 27, 2022 Thread starter #21 Equitable said: Na ardhi ya bara wazenj wanamiliki ila m bara huruhusiwi kumiliki kwao Click to expand... R.I.P Mtikila
Equitable said: Na ardhi ya bara wazenj wanamiliki ila m bara huruhusiwi kumiliki kwao Click to expand... R.I.P Mtikila
L Leverage JF-Expert Member Joined Jan 25, 2021 Posts 2,125 Reaction score 3,150 Mar 27, 2022 Thread starter #22 The Sunk Cost Fallacy said: Huko kuna kitengo maalumu kwa Kazi hiyo,kama una kinyongo jifie Click to expand... Kitengo gani? Kinaundwa na akina nani?
The Sunk Cost Fallacy said: Huko kuna kitengo maalumu kwa Kazi hiyo,kama una kinyongo jifie Click to expand... Kitengo gani? Kinaundwa na akina nani?
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Mar 27, 2022 #23 Leverage said: Kitengo gani? Kinaundwa na akina nani? Click to expand... Unaijua ofisi ya Makamu wa Rais Muungano?
Leverage said: Kitengo gani? Kinaundwa na akina nani? Click to expand... Unaijua ofisi ya Makamu wa Rais Muungano?
mbenge JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 4,864 Reaction score 10,483 Mar 27, 2022 #24 Leverage said: Nilishangaa sana hata TBC siku ya Uhuru Tanganyika wanaandika " SHEREHE ZA UHURU" Wanakwepa neno Tanganyika. Click to expand... Mwenge wa Uhuru ama kweli umetupumbaza Wadanganyika. Nchi mbili zinaungana na kubakia na serikali mbili zinazotambulika ndani ya muungano!
Leverage said: Nilishangaa sana hata TBC siku ya Uhuru Tanganyika wanaandika " SHEREHE ZA UHURU" Wanakwepa neno Tanganyika. Click to expand... Mwenge wa Uhuru ama kweli umetupumbaza Wadanganyika. Nchi mbili zinaungana na kubakia na serikali mbili zinazotambulika ndani ya muungano!
U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,816 Reaction score 3,993 Mar 27, 2022 #25 Tanganyika yamejaa mbumbumbu wajanja kutoka visiwani tunawatala machogo