Ivi mkuu unaweza kweli ukawa huna uwezo kabisa kabisa wakusomesha mtoto wako mwenyewe kwenye shule za serikali? Hii sentesi em ifikirie tena na tena nini maana yakuwa mzazi??? Hutaki kuwajibika kwa mtoto wako mwenyewe na unalalamika??????????
Hayo uliyo andika ni madogo mno hata elfu50 haifiki, hao walimu unao wazungumzia hutaki kabisa wapate motisha yakufanya kazi?? Izo chenchi chenchi ndo zinawasaidia na wao mambo madogo tusishupaze shingo kwenyw vitu vidogo vidogo, najua ni january lakini tusikubali kuzalilika kwa watoto wetu wenyewe,......
Sawa serikali imesema elimu bure lakini hutaki kutoa hata buku mkuu? Unasema wazazi hawana uwezo ulizaa watoto kwann? Swala la mzazi kwa mtoto kuhusu shule ni wajibu, tuendelee kutimiza wajibu bila malalamikoo