goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Well said mkuu...Tatizo la siku hizi wazazi ni watoto ndo maana baada ya kupambana na majukumu yao wana kazi ya kulalamika.Yaani unataka mwanao apewe kila kitu na serikali? Acheni uvivu wazazi mfanye kazi msapiti kidogo
Wazazi ni watoto au siyo? Hadi mjomba wako ni mtotoWell said mkuu...Tatizo la siku hizi wazazi ni watoto ndo maana baada ya kupambana na majukumu yao wana kazi ya kulalamika.
Mambo kama haya ni kero sana kwa wazazi wasona uwezo
Halafu wazazi wataitana tena kusahisha hiyo mitihani?Yaani fagio na ndoo ndio waalimu wanapiga, kwa Nini msishauri hao watoto wenu wakifanya usafi warudi na ndoo na mifagio nyumbani kila siku ili kuepuka waalimu kupiga? Na hio hela ya copy za mitihani, mzazi mmoja mwenye photocopy ajitolee wenzie wamchangie awe anadurufu yeye hio mitihani yote
Maskini akipata ............... , aloshiba hamjui mwenye njaa!Ivi mkuu unaweza kweli ukawa huna uwezo kabisa kabisa wakusomesha mtoto wako mwenyewe kwenye shule za serikali? Hii sentesi em ifikirie tena na tena nini maana yakuwa mzazi??? Hutaki kuwajibika kwa mtoto wako mwenyewe na unalalamika??????????
Hayo uliyo andika ni madogo mno hata elfu50 haifiki, hao walimu unao wazungumzia hutaki kabisa wapate motisha yakufanya kazi?? Izo chenchi chenchi ndo zinawasaidia na wao mambo madogo tusishupaze shingo kwenyw vitu vidogo vidogo, najua ni january lakini tusikubali kuzalilika kwa watoto wetu wenyewe,......
Sawa serikali imesema elimu bure lakini hutaki kutoa hata buku mkuu? Unasema wazazi hawana uwezo ulizaa watoto kwann? Swala la mzazi kwa mtoto kuhusu shule ni wajibu, tuendelee kutimiza wajibu bila malalamikoo