Kero za kudate mume wa mtu

Kero za kudate mume wa mtu

Ni hatari Sana,hao haitakiwi udate nao kwa ajili ya maonyesho,hao ni sikumna hamu banduaneni then kimya mpaka kipindi kingine.Mume wa mtu uwe romantic nae ili iweje....kashaoa kinachompeleka nje ni nyege tu ambazo huenda ndani hapewi mzigo au anapewa....kiufupi wanapenda kutembeatembea na kuonaona lakini makazi yao yapo.
Dah To yeye ukoje lkn?
 
Wadada hawajui tu, ukishakuwa 35+ ni ngumu sana kupata wa peke yako. Otherwise usijihusishe na ngono, kitu ambacho hawawezi.
Yaani legend utasema agent wa lucifer,mi kila nikipreach wadada Waterden mama unawakatisha tamaa tu😅
 
Sasa kwa nini tuongee uongo madam, demand inapungua kwa wanawake kadri umri unavyokata. At 35+ ni mwendo wa kushare tu, ibahatike mtu akutane na 50s au 60s aliye mgane, otherwise ni maumivu, hao 40s tu wanataka vitoto vya afumbili(ukiniondoa mimi🤣)
 
Ni tamaa tu mkuu, ila ukiamua kutochepuka inawezakana. Yan kabla hujachukua maamuzi ya kuoa kula sana papuchi. Ukiamua kuoa tulia mzee. Sometimes unajiletea nuksi kwny life lako kutokana na hii michepuko.
Fanya yako mkuu.
 
Una akili sio huyu kichwa maji mleta uzi anakuja jukwaani kabisa kujionyesha kuwa yeye ni kahaba. Ujinga mtupu
A hoe can never be unhoed
Utapasuka mishapa ya medulla damu ichanganyikane kwenye ubongo upate paralysis,why this panic though?dude take a chill pill ,chillaxxx!!....hoe ain't royal,did they did you some shit?
 
Hey
,Weekend kwangu ipo poa sana,Natumaini hata yako imetulia,kinyume na hapo jipe moyo siku hazifanani na pia hazigandi...
Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa,ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya wengine...Jamani,kina dada hii kitu mimi ilishanishinda sijui wenzangu mnawezaje kuwa happy na mahusiano ya namna hiyo,yaani ukute huu muda dada uko zako hotel happily na married man sijawahi enjoy,nishajaribu kudate nao mara kadhaa ila mara nyingi nimekuwa nikiangukia pua sifiki mbali yaani kuna vitu ambavyo nashindwa kuroll nao,mfano
1.UONGO,
Jamani hao viumbe ni waongo Shetani akasome,utasikia mwingine anasema hampendi kabisa huyo mwanamke kwanza alilazimishwa kumuoa,mwingine utasikia kwanza silali nae chumba kimoja mpe miezi sita utamuona huyoo anampeleka mkewe clinic
,ukisikia hizo mambo za design hivo sister,Don't buy it!

2.UNAFIKI
Hao jamaa achana nao,kuna wale wanafiki uko nao ila kila muda utasikia wife this,wife that,yaani anajifanya anampeeeeendaaaaa unabaki kushangaa kama unampenda mbona unamcheat?nikishasikia tu mume wa mtu kaanza wife sijui nini nini,hilo penzi linanishinda kabisaa,Inakata sana stimu

3.UMBEA
kuna wale wasengenya wake zao oooohooo usiombe ukutane nao anamuanika mkewe unabaki kushangaa,huyu kama mkewe aliyemtolea hadi mahali hivi mimi sasa si ndio atanipiga na picha hapo ni ndukiiii

NUKSI
Ukiwa nao hao mambo hayaendi kabisa kuna namna tu unakuwa unakwama,sijui maombi ya wake zao yanaweka kizuizi,au ni vile mi mwenyewe nakuwaga napata kauoga na ka guilty utasikia kale ka kamstari ka Ebr 13 :4 " ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi"kanakuwa kananijiajia tu bila sababu za msingi

KUFICHWAFICHWA.
Yaani unakuwa kama heroine,huku bado upangiwe muda wa kumpigia simu,utasikia "Baby ndio nimefika home usinipigie,usiku mwema ,nakupenda sana🙄🙄🙄"Whaaaaat?

Anyway yako mengi,sijui wenzangu mnawezaje,ila kupanga ni kuchagua ,maana unaweza kudhani uko kwenye mahusiano unakataa watu wema kumbe uko single..wake up weekend njemaaa
Yaani umepita na wote wa aina hizo, huo uch.i ni kabambe!
 
Unaongea culture za kizungu'nini?

Waafrika mila na desturi zetu ni mitala.

Ukiachana na mambo ya uhawara, je wewe mitala halali hauwezi oleka?

Nauliza, mtu aje kakupenda analia kabisa na mahari anaenda toa, hauwezi mkubalia kwa sababu tu eti kaoa wakati mila zetu zinaruhusu?

Embu funguka na hili ili niutathimini msimamo wako mdada.
 
Back
Top Bottom