Kero za kudate mume wa mtu

Kwamba yupo na wewe tu? Hahaha!! Labda kama nguvu zimepungua yupo 60s huko, ila kwa huyu mtanzania wa kawaida mwenye 40s na hela ya wese, mboga na ya kukaa kwa wallet ipo....🤣🤣
Ahaaa sasa hapo ngoja nikueleweshe Legend,yeye kama atapiga huko nje hiyo juu yake,mimi ninachofanya hapa ni kuwaambia wadada umuhimu wa kuwa na koloni lako,wasikubali kuwa spare tyre bwana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DA anne, mie mbavu zinaumaa hapaa. Woiiiih.
 
Ahaaa sasa hapo ngoja nikueleweshe Legend,yeye kama atapiga huko nje hiyo juu yake,mimi ninachofanya hapa ni kuwaambia wadada umuhimu wa kuwa na koloni lako,wasikubali kuwa spare tyre bwana
Wasipokubali unadhani upwiru unatolewaje? Yaani wewe ukiwa main, kuna mwenzako anafanywa side, bila hivyo kuna Ke wengi wataishi kwa shida sana.
 
Kwamba yupo na wewe tu? Hahaha!! Labda kama nguvu zimepungua yupo 60s huko, ila kwa huyu mtanzania wa kawaida mwenye 40s na hela ya wese, mboga na ya kukaa kwa wallet ipo....🤣🤣
Wazinzi ndio sababu zao hizi
Ila kiuhalisia Kuna wanaume wanajitunza

Siyo wote wanaocheat.
Watakatifu wapo aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…