Kero za kudate mume wa mtu

Kwani kuna shida gani ukitafuta mwanaume aliye kuwa single na mkafanya maisha?.

Kwanini udate mume wa mtu ilihali unajua kabisa huyu commitment yake iko tayari kwa mwanamke mwingine?. Kwanini utake equal share ya attention and love ikiwa unajua kabisa kuna kimoja au vyote lazima viegame upande mwingine?.

Nadhani vyema kuwa na wako mwenyewe, huyo walau utakuwa na uhuru naye.
Yaani,mimi ni mpenda attention sana yaani mtu aniambie shuka kwenye gari wife anapiga video call kweliii?haki siwezi kuvumilia hayo maumivu
 
Ahsante sana kwa ushauri mkuu. Nimepanga nimpotezee mazima ili ajifunze na kutafakari.najua anaweza kupambana,kipato anacho maana ni muajiriwa wa government.japo roho inaniuma kuhusu mwanangu.

Haiwezekani unamchukia mke wangu na familia yangu,ambayo wala hata haikujui.
 

Mwanao hudumia fanya kila kitu ajue baba yake upo na unamjali mengine yametokea tu nje ya uwezo wako
 
Shida hamjui kuwa tunajua mnatupendea pesa, na mimi nakupendea utamu tu au kupunguza stress,maana sometimes kuna waka moto ndani.

sasa siti za mbele zimejaa kaa nyuma mama.
 
Utafukuza wangapi..?!maana hiyo tabia ya kunyima unyumba wanawake waliokua kwenye ndoa zao ni Kama katabia kao kakudumu na Wala hawana mpango wa kuachaa πŸ˜ƒ
Wee fukuza tuu...kama hela ipo trust me utapata mmoja ambaye anakupa matundu yote manne. Usiogope kufukuza eti kisa ni katabia kao...trust me bro utapata mwanaumke ambaye anakukabidhi mwili wake wote ni wewe tuu uamue unamwagia wapi
 
Sasa Kama kilichokupeleka kwa mume wa mtu ni UMALAYA…. Unategemea Akutreat kama mwanamke wa maana?

Bado hamjasema
 
Mtu anamsaliti mke wake, wewe unategemea nini?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unafichwa kama bangi.

Ila watu ni waongo sana
Eti hampendi mkewe au mumewe
Hapo wamefunga hadi ndoa ya kanisani.

Nyie watu wanachuma dhambi hivihivi.
Safari ya mahusiano ni ndefu mno,imagine mtu Yuko vizuri then ghafla unagundua IQ Iko chini na management ya watoto hawezi,imagine that feeling.Kwakweli GEN Z kuweni makini,mahusiano yana chemistry ndefu mno,wengine shape safi,mara **** inapoteza utamu mazima na anakumbwa na majini mahaba kila ukikukuluka kumsaidia kuyatoa hayachomoki,imagine that feeling,mwingine Yuko poa kabisa shape kama lote lakini hapendi nduguzo,imagine mwingine kila kitu kiko sawa lakini hapendi hustle yoyote,imagine that feeling,mwingine.
Yuko poa kabisa lakini ukitoa manii zinarudi kwa nyuma haziendi ndani kabisa huko,imagine that feeling,wengine anaacha kuwa msafi kabisa na wala hajali hata utanashati Tena na wewe unapenda vibe flani hivi,imagine that feeling,wengine Yuko safi kila kitu lakini hapendi watoto waende kwenu visingizio kibao mara that mara this,imagine that feeling,wengine hata ufungue mradi kwa umakini vipi anafanya hujuma juu ya huo mradi imagine that feeling,na Kuna wengine wana uraibi wa kupenda kucheza kamali za kichina unaacha bajeti ukiwa safari mara mtoto kaumwa amelezwa na.pesa inatakiwa kumbe kaliwa dude la mchina anatafita compasation.Imagine that feeling.Wengine Yuko poa Miaka kibao ghafla ananza uchawi ghafla bini vuu,utafanyaje mwanawane,the chemistry of love is more complicated.
Good day every one!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…