Kero za kudate mume wa mtu

Yaani,mimi ni mpenda attention sana yaani mtu aniambie shuka kwenye gari wife anapiga video call kweliii?haki siwezi kuvumilia hayo maumivu

Kumbe yanatokeaga hayo duuh 🙆‍♂️🙆‍♂️
Huo ni unyanyapaa wa kijinsia kwa kweli 🤣🤣
Mwanaume wa hivyo hana misimamo atakuponza.
you are not secured there .
Raha ya bwana awe na masculinity power ajue kimdhibiti mkewe , aweke boundaries lakini Mwanaume weak ni hatari kuwa nae kwenye uhusiano, siku anaweza kubanwa na mkewe amlete nyumbani kwako kisha ufanyiwe mabaya.
Achana nae haraka miyeyusho.
 
Inamaana bado huja pata uzoefu tu?
 
Kwenye mimba labda niwe nimeamua na mimi kuzaa
Actually sijui kwann wanatakaga kuzaa nje hata kama ndani Wana watoto
Na hajui tu naweza kuzaa naye na nikamuacha vilevile
Kuzaa nje kuna faida zake, japo hasara ni nyingi. Binafsi hili naliwaza, nafikiri its worth kutafuta mmoja wa pembeni. Breeding with one woman sio afya kwa vizazi vyako, kama ukipata watoto below average ndio imeisha hivyo.
 
Siungi mkono ku date na mume wa mtu ila nadhani wanawake wengi huwa wananaswa na uongo wa hawa watu. Na wanakuja kushtuka too late.
 
Ninapochoka kwa waume za watu, kutoa siri za familia yao kwa mchepuko.
Najiuliza wanawezajee kufanya hivyo? Hawana hata uoga? Aibu je?
Aaaaah
Na usiamini kila uachoambiwa na mume wa mtu.....wakat mwingine ni gia ya kukupata.

Atakwambia nimetengana chumba na mke wangu....halaf subir miez mitatu unamuona mkewe anapita ana mimba.

Waume za watu Nyooooko.
 
Na usiamini kila uachoambiwa na mume wa mtu.....wakat mwingine ni gia ya kukupata.

Atakwambia nimetengana chumba na mke wangu....halaf subir miez mitatu unamuona mkewe anapita ana mimba.

Waume za watu Nyooooko.
Sasa kuna mwanamke anaelewaga bila kupigwa siasa🤣!? Ni lazma tudanganye ili kufix the missing puzzle
 
Kuliko kuwa na mwanaume single kichefu chefu Bora niwe na mume wa mtu ambaye najua kabisa ana mke na akitoka kwa mkewe ni mimi.
 
Hao waume za watu wapumbavu sana, wanamwambia mchepuko awe muaminifu wakati yy kashindwa kuwa muaminifu kwa mkewe…. 🤣🤣🤣
 
Kwa taarifa yako hatuwezi kuwa na mwanamke mmoja..hata nikikuoa ukawa mke bado nitatoka na mwanamke mwingine..
Hata sisi hatuwezi kuwa na mwanaume mmoja mkituoa tunaenda kwa wengine 😹
 
Wizo uchinjwe Xmas 🤣🤣🤣
Yani ww siku zinavyozidi kwenda unazidi kuchetuka akili..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…