Kero za kudate mume wa mtu

Aisee kuna age group mtu akifika it's by grace of God..
Ni kweli kwamba kuolewa/kuoa inakuja anytime ila tukiangalia uhalisia...mmmh, ujue tu mwanaume akiwa 30s aghalabu sana kuoa mwanamke wa 30s.
Acha basi kukatisha wenzio tamaa mzee mwenzangu....watapata hata wagane wa 50 bhana🫣
 
Kwani nilipewa ya kazi gani?kama umepita shule nadhani utaelewa maana ya ile theory ya use and disuse of organs!unataka kifutike?
Duuuh, kuna kitu hakipo sawa kwa upande wako, nakushauri hivi fanya mapenzi sehemu sahihi sio unatumika tumika tu hovyo naamini bado hujakutana na mtu sahihi ila yupo ambaye atakufanya utulie achana na ndoa za watu utakuja kupelekea matatizo makubwa kuliko unavyozania
 
Kwa kifupi sisi wanaume tunawachukulia michepuko kama malaya. Toka lini malaya ukamwambia ukweli

Ni wanawake wa kujipoozea chombo ya starehe na huwa hatuwachukulii serious

Tatizo lenu michepuko ni kutaka tuwatreat kama wake zetu. Mchepuko ni malaya kama malaya wengine. We treat them like bitches

Wanaume tulioa tunaojilewa family always comes first hata tuwe na michepuko
 
Kwamba wanamme nao wanaolewa?
Hatari sana, jana nilikuwa kiwanja fulani, ile nageuka kwa nyuma naona pandikizi la baba limekaa kaunta huku suruali ikiwa imeshuka chini na kuonyesha bikini aliyovaa; kusema kweli sikutegemea kabisa kukutana na kitu cha namna hiyo. Ndipo watu wakanijulisha yule ameleft kundi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unafichwa kama bangi.

Ila watu ni waongo sana
Eti hampendi mkewe au mumewe
Hapo wamefunga hadi ndoa ya kanisani.

Nyie watu wanachuma dhambi hivihivi.
 
Ninavyokuona unaweza pata heart attack!maana unajua sana kupanicπŸ₯²πŸ₯²pole,na relax kidogo
 
Unabidi kusali na kufunga upate the right person akitulize

Kuitwa mchipuko (concubine) haipendezi.

Unaweza vunja ndoa ya MTU kimasihala kitu ambacho kitakufanya uwe guilty na kupokea bad karma in future.
Kuvunja ndoa ya mtu sio rahisi,unless huyo mke nae awe kamchoka mmewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…