SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Mmh wapinipo nashuhudia ugawaj wa tuzo za jf hapa
I
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh wapinipo nashuhudia ugawaj wa tuzo za jf hapa
I
Utapasuka mishapa ya medulla damu ichanganyikane kwenye ubongo upate paralysis,why this panic though?dude take a chill pill ,chillaxxx!!....hoe ain't royal,did they did you some shit?
ata sipajui nimeletwa na waty wasio julikanaMmh wapi
Hata hayo maslahi sio makubwa kama anayofaidi my wife wake Bwana...wewe anakupa laki 3,wife anampa elfu 30,ila wife anajengewa nyumba kali,kuna miradi ya familia,kuna gari nzuri wife ana access nayo muda wowote ,we unaishiwa kupangiwa nyumba na kufichwa kama bangi hapo nani anafaidi?Hilo nililiona halina mashiko ndonikaisongesha mada kwenye mitala, vyote lakini si vinapikika chungu kimoja kihisia?
Uhawara huo ulioongelea mara nyingi huwa umelenga manufaa kwa pande zote.
Sasa hauwezi ku 'deep in' kihisia kwa sababu unaelewa dhahiri kuwa mtu huyo uliyenaye ni mpita njia.
Lakini kwa terms of maslahi, mbona mnainjoi na kuburudika tyuu?
Tatizo tulilonalo wengi, kila tuonjapo asali tunataka kuchonga na mzinga, mwisho wa siku ni maumivu ya kichwa na moyo.
Shauri yako uibiwe kweliata sipajui nimeletwa na waty wasio julikana
si utaandaman ukisikia nimeiibiwa?Shauri yako uibiwe kweli
Nitafurahi nakuwahidi dau kubwa kwalio kuteka ubaki huko hukosi utaandaman ukisikia nimeiibiwa?
Mkipeana gonorrhea mnaanza kulia liaMwanaume kaumbiwa kuzalisha,hayo mambo ya mke mmoja ni tamaduni za wazungu,mwafrika na asili yake ni ndoa za wake wengi,Anza na wanyama Hadi ndege,dume moja majike kumi,nipe hata Mimi nikuchakate japo nimeoa
EhMkipeana gonorrhea mnaanza kulia lia
Ataombewa na mama yake limbukeni huyu......akijakuumwa atatuliaDaaah,so disappointing....kazana kumuombea
Kwema. Ninaona umetoboa Siri!Kwema?
Nitafurahi nakuwahidi dau kubwa kwalio kuteka ubaki huko huko
Rafiki yangu nitawaombea albadili watakurudisha haraka sanaahahaha sio kweli kabisa huwezi vumilia mm kuwa mbali kwa siku taty