Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

Unification for strategic security that's the main reason. Wakikataa niite Mrundi nipo pale nasubiria wakatae
 
😳😳😳
 
Ila wao wakija huku wanataka Kila fursa. Ni ngumu sana ata ukiwa mtu wa bara kuajiriwa zanzibar
Huku ni Tanzania wazanzibari wanahaki kamili, ila nyie waTanganyika hamnahaki yotote Zanzibar. Na hiyo ndio faida ya kulazimisha Muungano.
 
Nitapita kukusabahi natokea huku mchamba wima
 
Raisi wa zanzibari ili bidi awe ni kama waziri tu..mambo ya kua na rais wao nao ni ujuha tu
 
Elimu kubwa tulioyonayo tunashindwa kutengeneza nchi mmoja.
 
Basi wasiwe marais bara na wawe na bajeti yao wasitegemee Bara.
Wale sio marais wa bara, hakuna nchi inaitwa bora ilio hai, wale ni marais wa Tanzania au serikali ya muungano over
 
Naam Sheikh, Unguja tunasherehekea Miaka 46 ya CCM Kwa kudemka.
 
Wakati huo kuna hadi mawaziri wa SM ya Zanzibar wana ardhi bara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…