Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni. @zittokabwe @freemanmbowetz @jjmnyika @SeifSharifHamad.
 
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Stay tuned!
Watakuja kutuhadaa na wizi wa kura! Afu nachoshangaa marekani kila siku wanalalamikia Uhuru wa kuongea, ilihali wapinzani kila siku wanabwabwaja tu kwenye vyombo vya habari!
 
Kwa upumbavu iliyofanya tume na polisi hakuna watu kujitafutia kipato. Awamu hii mtaelewa kuwa watanzania wamebadilika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi bado unajifariji tu?

Imeisha hiyo jipangeni kwa ajili ya 2025.

Yani chadema na Lisu wakiendelea kupumbazwa na huu ushabiki wa mitandaoni wataishia kuwa kama tlp.
 
Back
Top Bottom