Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

Waafrika bhana ndio maana wengi ni wachawi.

Mnashindwa kuungana kabla ya uchaguzi mnakuja kuungana baada ya kupapaswa ili iweje?

Hapo ndio utagundua kuwa wapinzani ngozi nyeusi wanapinga kutokana na njaa.

Pumbavuzi zenyu.
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Stay tuned!
 
Tamko la Lissu la kuingia barabarani limeishia wapi 😁😁😁...
Au Mbowe ndio anaenda kukazia tamko, wakimaliza wao ndio wakae mbele kwenye maandamano Jussa atapata kampani at least.
wajaribuuu asa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I am of the same opinion Nifah, huyo anayejiita MWENDAWAZIMU will not allow this news conference to take place.
Nina wasiwasi kama huo mkutano utafanikiwa kufanyika, vifaru vitalizingira jengo lote la makao makuu ya Chadema. Tanzania mpya ya kijani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi bado unajifariji tu?

Imeisha hiyo jipangeni kwa ajili ya 2025.

Yani chadema na Lisu wakiendelea kupumbazwa na huu ushabiki wa mitandaoni wataishia kuwa kama tlp.
Leo mmeua wangapi Zanzibar maana ndiyo order yenu ya kila siku.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa jinsi ulivyoandika unaonyesha wewe si mchawi bali na shetani mwenyewe amecomment hapa
 
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Stay tuned!
Kwani vyama vimeungana!
 
Umoja wa kitaifa kwa ubaguzi huu na ubakaji wa demokrasia? Haki itendeke, bila haki hakuna umoja wa kitaifa.
Upo sahihi boss,lakini haki ni pamoja na kukata rufaa kwanini wasikate rufaa wale wote wanao ona wameonewa?
 
Wapumbavu sana hawa wanaimba tudumishe amani, tunadumisha vipi amani bila ya kuwepo uhuru na haki ya kweli. Wamefanya udhalimu wa aina mbali mbali kwa miaka mitano ikiwemo mauaji na bado wanaimba tudumishe amani.
Umoja wa kitaifa kwa ubaguzi huu na ubakaji wa demokrasia? Haki itendeke, bila haki hakuna umoja wa kitaifa.
 
Tamko la Lissu la kuingia barabarani limeishia wapi [emoji16][emoji16][emoji16]...
Au Mbowe ndio anaenda kukazia tamko, wakimaliza wao ndio wakae mbele kwenye maandamano Jussa atapata kampani at least.
Kura 12,516,252 Magufuli
Kura 1,933,271 Lissu
 
Imeisha hiyo.
Matamko ni lazima kuwafariji makamanda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi bado unajifariji tu?

Imeisha hiyo jipangeni kwa ajili ya 2025.

Yani chadema na Lisu wakiendelea kupumbazwa na huu ushabiki wa mitandaoni wataishia kuwa kama tlp.
Haooooooooooooooooo !!!!!.
Tena mkutane kwa heshima na adabu vinginevyo Kamanda Mambosasa yupo.
Watakuja kutuhadaa na wizi wa kura! Afu nachoshangaa marekani kila siku wanalalamikia Uhuru wa kuongea, ilihali wapinzani kila siku wanabwabwaja tu kwenye vyombo vya habari!
Wananchi wanaendelea na shughuli zao za kujitafutia kipato.

John Pombe Magufuli - Kura 12,516,252

Tundu Antipas Lissu - Kura 1,933,271

John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

ITV

Imeisha hiyo!!!!
 
Back
Top Bottom