Vyama vya CHADEM na ACT vya ajabu. Matatizo yote ya uchaguzi wamesababisha wenyewe wameshindwa kuungana kabla ya kampeni kusimamisha mgombea 1 watanzania tukajua Ni yupi wa kupigiwa kura.
CHADEM namuunga mkono mgombea urais Zanzibar wa ACT. ACT na wao namuunga mkono mgombea wa urais wa CHADEM. Kwenye Wabunge wameshindwa kabisa kuungana mikono unategemea nini.
Sijajua kesho CHADEM na ACT watazungumza nini kwa nafasi za Ubunge..
Kumuunga mkono mgombea hakuishii kwa nafasi ya Urais ilitakiwa kuanzia kwenye nafasi ya Udiwani mpaka Ubunge.
Upande mmoja wanagomea matokeo, upande mwingine wanakubali matokeo.
Mfano jimbo la Mbeya CHADEM wanapinga MATOKEA kwa nafasi ya Ubunge , ACT kwa matokeo ya Mbeya kwa nafasi ya Ubunge wanakubali wameshindwa.
Mgombea angekuwa 1 sauti yao ingekuwa kubwa