dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Kesho dude linaamshwa hakuna mfano.Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni. @zittokabwe @freemanmbowetz @jjmnyika @SeifSharifHamad.
Tunasubiri hoja za kuimarisha amani na umoja wa kitaifa.Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Stay tuned!
Kwa upumbavu iliyofanya tume na polisi hakuna watu kujitafutia kipato. Awamu hii mtaelewa kuwa watanzania wamebadilika.Wananchi wanaendelea na shighuli zao za kujitafutia kipato
Wananchi wanaendelea na shighuli zao za kujitafutia kipato
Umoja wa kitaifa kwa ubaguzi huu na ubakaji wa demokrasia? Haki itendeke, bila haki hakuna umoja wa kitaifa.Tunasubiri hoja za kuimarisha amani na umoja wa kitaifa.
Mengine ni kujipikia matatizo.
Unamjibu huyo jinga la mwisho, ni moja ya hopeless citizen in this Country.Ilhali nyie mnaendelea na shughuli yenu ya kumwaga damu za ndugu zenu kwa uroho wa madaraka!
Watakuja kutuhadaa na wizi wa kura! Afu nachoshangaa marekani kila siku wanalalamikia Uhuru wa kuongea, ilihali wapinzani kila siku wanabwabwaja tu kwenye vyombo vya habari!Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Stay tuned!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi bado unajifariji tu?Kwa upumbavu iliyofanya tume na polisi hakuna watu kujitafutia kipato. Awamu hii mtaelewa kuwa watanzania wamebadilika
Haooooooooooooooooo !!!!!.Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Stay tuned!
Haki inahusisha upendo na amani.Umoja wa kitaifa kwa ubaguzi huu na ubakaji wa demokrasia? Haki itendeke, bila haki hakuna umoja wa kitaifa
Watakamatwa na kupigwa mabomu.Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Stay tuned!