Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

Hiyo kesho mipoliccm itapiga marufuku huo mkutano bila sababu yoyote ile ya msingi! Itajifanya kuzingira hayo maeneo ikiwa na silaha nzito nzito! Nk.

Hakuna oparesheni wanayo ifurahia kama ile ya kwenda kupambana na wale wasio fungamana na mdudu anayeitwa si si emu.
 
Nina wasiwasi kama huo mkutano utafanikiwa kufanyika, vifaru vitalizingira jengo lote la makao makuu ya Chadema.
Tanzania mpya ya kijani...
Kamanda MamboπŸ•‘πŸ• tayari amesha toa tamko kuhusu huli...
 
Hapo patamu, huu mwaka tutakomesha uharamia wote uliokuwa ukifanywa na vibaka kwa miaka yote
 
All the best.

Haitakiwi kabisa kukaa kimya kwa unyama waliofanyiwa, wacha sauti zao zifike mpaka magogoni japo anajidai chizi lakini ujumbe lazime umfikie.
 
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Stay tuned!
Kila la heri
 
Nina wasiwasi kama huo mkutano utafanikiwa kufanyika, vifaru vitalizingira jengo lote la makao makuu ya Chadema.
Tanzania mpya ya kijani...

Duh UFON VPN imekutoa mafichonieeπŸ˜€
 
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na waandishi wa habari. Yatafanyika makao makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Stay tuned!
Mwenzao Aida khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu, Zito kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
 
Duh UFON VPN imekutoa mafichonieeπŸ˜€


Tunaomba direction jinsi ya kufika makao makuu .... .... .....
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tuna hamu kubwa ya kuja kuwacheka chama cha mashoga

khe khe he he heeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mimi nakaa kuwa fikiria hawa jamaa watafanya shughuli gani sasa, hali ilivyo ngumu mtaani halafu mtu kama Halima na Lema watakufa njaa. Bora hata sugu na professor J , watapata vishoo njaa vya kuingiza hela ya kula. Yani hawa ni haki yao wakaandamane maana wanako elekea ni kubaya.
 
HAPO NDIO SEHEMU YA MAMBOSASA KUTAFUTIA SIFA, NAJUA ATATEMBEZA VIRUNGU VYA KUTOSHA NA KUZUIA MKUTANO.
 

Tume ya taifa ya Uchaguzi .... ..... Ding .... Dong!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…