Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Huu mpambano ni sawa na Real madrid ya Spain vs Faru dume ya Temeke.
 
hukuwa umezaliwa au hukuwa na smartphone mkuu??

ile siku ndio nilijua wasomi wa ccm wakiweka siasa chini sio watu wa mchezo mchezo.nikagundua kitu pia,kwamba kumbe lissu huwa anatoa povu sio hoja.

sasa kesho ajipange,na sijui kama hataokba udhuru.
Masilingi alikuwa hana hoja, ni kupiga kelele, kuingilia wakati Lissu anaongea, na pia moderator hakutimiza wajibu wake kumlinda msemaji. Masilingi hakuwa na njia nyingine. Kama angetuliza ball kila mtu ajenge hoja, asingefika popote. Kumtetea Magu ni kibarua kigumu.
 
Kama JPM ni Shujaa wa Africa hata Jean -Bédel Bokasa nae ni shujaa vile vile..

Shujaa gani aliyekua anakwepa midahalo?

Bora hata Mkapa alikwepa hadi alipokutana na Tim Sebastian Kwenye HardTalk hadi akawa na gadhabu!
Na ndicho alichofanya Masilingi
 
Yaani wewe unajiita Msaga sumu, kweli unatuletea utumbo hapa kwenye mtandao. Munatafuta kila njia ya kuuwa demokrasia nchini kwa visingizio. Kweli ujinga una ndugu zake.Hivi munafikiria kumuua Tundu Lissu kwa matamshi yake na hoka zake dhidi ya ufashisti uliopo nchini. Ana haki kama raia wa taifa hili kutoa maonai yake tena ni haki ya kikatiba. Na Tanzania kama memba wa UN, AU na SADCC lazima waheshimu haki za wananchi na haki za kibanaadmu. kama munaona hamuwezi kumhoji Tundu Lissu kwa hoja zake, bora mujitie kamba. Vitisho hatima yake tumeiona. Mumetisha, mumeua, mumetesa, mwisho wake na nyinyi muna kufa tu. kwa hiyo ukitaka kufa jifanye wewe ndio Mungu wakutoa watu roho, UTAKUFA. wacha kutisha watu. Hakuna anatishika na upumbavu wenu.
 
Huyo mgonjwa anatia huruma ....acha ang'ake wapambe wake wamsifie kwa mapambio.
Huyo uliyemuona ni mzima na kumuabudu yuko wapi?

Wacha hakiba ya maneno Mungu hazikahikiwi si Huyo jiwe mkiliona kama halikufa na kumuona ni mzima kumbe likitembea na kifaa cha usaidizi wa kuongeza maisha mbele leo liko wapi?
 
Masilingi aliyepandisha kisukari kwa nondo za Lissu au Masilingi yupi ?
Masilingi alikuwa ana mhandle Lissu diplomatically kwa vile yeye ni balozi, wakati Lissu alikuwa analeta siasa za CHADEMA za kubisha kila kitu.
 
Sasa tunasubiri akiwa na Lissu!
 
Lissu hana ubavu wa kuwezana a lumumba kwa hoja. Atagaragazwa vipande vipande, kwanza nashauri abebe na kamusi kabisa maana anaweza asielewe hata english yenyewe
 
Kwa uungwana kabisa, ni nani, au kikundi gani, taasisi gani au tafiti gani iliyompa Magufuli hadhi ya shujaa wa Africa?
 
Acha uongo wako Balozi Masilingi alizidiwa kete na Lissu. Uzuri wa system na deep state huwa wana namna yao ya kufunua mambo ya wajanjajanja dani ya serikali. Pia tunachokosea ni kupiga ngoma sana tena kwa nguvu nyingi sana. Mazuri hatuna haja kupamba yatajisemea yenyewe
 
Hilo la Masilingi kumuelemea Lissu... Video bado ipo YouTube. Kaangalie ujikumbushe kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…