Mimi nayamudu maisha yangu kwa kiwango kikubwa, yaani ni mtanzania wa kipato cha kati. Sihitaji msaada wa mtu yoyote maana uwezo na ujanja wa kupata pesa ninao. Kama unataka kutoa msaada wapelekee wenye uhitaji huo maana mimi nimeshavuka hatua ya kusaidiwa. Usipoteze muda wako kuniombea maana mimi nina uhakika wa maisha bora, au ya kuridhisha mpaka nitakapofariki kwa jinsi nilivyojipanga, labda itokee majanga ya asili sio kinyume cha hapo.
Ni hivi humu ndani tuna uelewa na vipawa tofauti tofauti, usije na vitisho na majigambo ya kipuuzi ukidhani huku ndani tumejaa wajinga kwa mujibu wa mtazamo wako. Kama umeamua kumsifia rais na serikali hiyo ni haki yako kikatiba, na sio lazima wote tumsifie au kumkubali kwani na sisi ni haki yetu kikatiba. Unapokuja na lugha ya matusi, kejeli na vitisho utapata majibu stahiki na itatumika lugha hiyo hiyo unayoweza kuielewa vyema. Unatukana, kukejeli na kutoa vitisho vya kipuuzi, kisha unalalamika tabia unayoifanya ikifanywa na wengine! Ukitaka kupata heshima, changia kwa staha na vumilia mitazamo ya watu wengine, kinyume na hapo utaipata fresh.
Sawa cockroach unaelewa lakini mambo unayo yaandika? Kwenye hizi sentensi zako mbili huoni kama kuna contradiction?
Mimi nayamudu maisha yangu kwa kiwango kikubwa, yaani ni mtanzania wa kipato cha kati. Sihitaji msaada wa mtu yoyote maana uwezo na ujanja wa kupata pesa ninao.
Ndiyo maana nikakueleza kuwa mtu mwenye akili kubwa anaweza, kulingana na uchangiaji wako hoja, akatambua mara moja uwezo wako wa akili, upeo wako wa kufahamu vitu na uzoefu ambao unao, iwe wa biashara au wa kazi na kadhalika.
Kueleza kuwa wewe unayamudu maisha yako kwa kiwango kikubwa na ni matanzania wa kipato cha kati, wakati huo huo uwezo na ujanja wa kupata pesa unao, tayari umesha onyesha kuwa wewe;
1. una maisha ya kihuni yasiyo na uhakika wa kupata pesa za uhakika kumudu maisha yako kama wewe mwenyewe unavyo jipa kuwa ni mjasiliamali na kwamba umewaajiri watu. Huo utakuwa ni uongo.
2. Mimi sijakuambia kuwa nataka kukupa msaada wa pesa, nacho taka kukusaidia ni kuwa usiwe addicted na mambo ya kisiasa ya mtandaoni kiasi kwamba ukapata frustrations za bure za maisha. Huwezi shindana na watu ambao wengine siasa ni profession yao.
3. Huko nako ni kujisifu au wewe unalionaje?[emoji1][emoji1][emoji1]
Nakupata mara nyingi sana JF ukizozana na kutukanana watu wengine kama yalivyotokea kwangu. Unachangia hoja ukiona wamekuzidi kwa sababu ya uwezo wao kielimu unachukia na kuanza kutoa matusi. Kwanini lakini? Kama kihoja wamekushinda achana nao. Usiwalazimshe wakawa kama wewe.
Tatizo lako wewe ukizozana na watu unachukulia mambo so personal kiasi kwamba una develop chuki na uhasama na hao watu kama yalivyo kutokea na mimi. Ya nini hii yote?
Wewe mwenyewe kila wakati unadai mtu awe na freedom of Expressen, lakini wewe mwenyewe una wa attack wenzako kwa namna wanavyo changia hoja, kama unavyo ni attack mimi kwa texts zangu ndefu, kwa nini wewe uumie? Mbona hazikuhusu?
Una yafanya hayo yote kwa sababu umetambua kuwa mimi nimekuzidi kwa kila kitu; kihoja, elimu na upeo wangu wa kujua mambo mengi na maarifa niliyo nayo.
Hapa naomba tuelewane, sijazungumzia uwezo wako kisenti, unaweza ukawa na pesa nyingi lakini bado ukawa na akili finyu.
Usipoteze muda wako kuniombea maana mimi nina uhakika wa maisha bora, au ya kuridhisha mpaka nitakapofariki kwa jinsi nilivyojipanga, labda itokee majanga ya asili sio kinyume cha hapo.
Nakuombea kwa vile napenda uwe na busara ya ku argue na watu na kukubali pale unapo ona umeshindwa, badala ya kuendelea mpaka una develop chuki na uhasama na kuanza kupiga majungu kwa watu wengine ili wakusaidie kumshinda mtu aliyekushinda kihoja. Sio udemokrasia huo. Huo ni utoto na utindiga na ufalah juu yake.
Ni hivi humu ndani tuna uelewa na vipawa tofauti tofauti, usije na vitisho na majigambo ya kipuuzi ukidhani huku ndani tumejaa wajinga kwa mujibu wa mtazamo wako.
Sure, hata mimi nalitambua hilo. Lakini wewe badala ya kuchangia hoja unaanza na kuni attack mimi personally kama ulivyo fanya kwenye Tag #141, unategemea mimi nita react vipi? Off course namimi nita retaliet!
Angalia kwenye Tags zangu zote kama nilivyo orodhesha hapa,
#85, #87, #110, #112, #128, #141, #165, #191, #195, #237, #246, 251, #267, #286, #288, #290, #308, #336 na #339
utaona mwenyewe kuwa sijamtukana mtu mwingine isipokuwa marumbano niliyo yafanya na wewe tu. Unajua kwa nini? Kwa sababu wewe umeanza na mtindo huo wa personal attack.
Kama umeamua kumsifia rais na serikali hiyo ni haki yako kikatiba, na sio lazima wote tumsifie au kumkubali kwani na sisi ni haki yetu kikatiba.
Sure, hata mimi naona hivyo. Tatizo liko kwako hutaki kuchangia hoja badala yake unakuja na matusi kwa sababu unajua toka mwanzo kuwa mimi nimekuzidi kihoja. Sio mimi ninaye hangaika kuwatukana watu, mimi mara nyingi huwa nachangia hoja kwa nafsi yangu, lakini wao na hasa wewe ndiyo wenye matatizo hayo.
Mimi nimesha kusoma mda mrefu sana kuwa wewe huwezi changia hoja kistaarabu, ndiyo maana utaona mimi huwa sichangii hoja zako, kwa sababu naona huna pumzi kubwa na upeo mdogo ulio nao wa kuelewa vitu vingi, nafikiri inakupa shida.
Sio kosa lako lakini. Ni kosa la kuwa na elimu ndogo na experience ndogo ya maisha mengine nje ya Tanzania. Kwa hali hiyo, off course, arguments zako mara nyingi zinakuwa local au tuseme regional na sio international. Huna uwezo wa kuwaza zaidi ya yale unayo ya experience Tanzania. Utayatoa wapi wakati hujaishi uzunguni?
Kwa mtu mwenye uzoefu mkubwa kama wangu natambua mara moja kitu gani kina kosekana kwenye hoja zako. Lakini wewe mwenyewe huwezi jua, kwani huna uwezo wa kuelewa mtu mwenye elimu ya juu ana capacity gani, na mtu aliye ishi nje ana capacity gani. Kwa hali hiyo unalazimisha sisi wote tuwe kama wewe wakati unajua kuwa ni kitu ambacho hakiwezekani, mambo hayaendi hivyo brother of anorher mother. Huna capacity ya kujiuliza kwanini?
Ushauri wangu kwako ni kwamba soma vizuri hoja za watu, elewa mchangia hoja ana malengo gani na jitahidi kuchangia accordingly na sio ku erupt na kuanza kukandia hoja za watu kama ulivyo fanya kwenye Tag yangu #141.
Pia elewa kuwa elimu yangu ya ng'ambo, maisha ya kimasomo na kikazi na wazungu na mambo mengine niliyo experience nje, yananipa mimi advantage kubwa sana ya ku analyse mambo kuliko wewe, kwasabu nina References. Wewe huna hizi.
Tukianza tu na Mwalim Nyerere sijui kama wewe umesha pata nafasi ya kumwona live. Mimi nimesha wahi hata kupeana naye mkono. Nasikitika nikisema hivyo utaanza kusema najisifu na kuwatishia watu. Si kweli, kwa ajili ya umri wangu lazima nitakuwa nayajua mambo mengi zaidi kuliko wewe. Na ndiyo maana nakuambia kila mara usipende shindana na mtu kama mimi kihoja kwani najua mengi zaidi kuliko wewe. Hiyo ni fact! Utake usitake.
Unayo yapitia wewe mimi nimesha yapitia pia. Kama born town mimi pia born town. Maisha ya usweken nami nayajua pia. Usifikiri kama mimi ni mtindiga kama wengine unao wafikiria. Nashangaa kwa nini wewe unakuwa mkaidi kulitambua hilo, unataka ushindane na mimi, kwa lipi? Kihoja hutaniwezi, labda kifedha. Vingenvyo utapata frustration ya bure ya maisha. Stop that!
Kitu kingine ambacho wewe hukijui, hata kama hutaki kusikia na kusema sijui mimi nawakejeli, siwaheshimu au natoa vitisho, ukweli ni kwamba Tanzania watu wengi hawajui maana ya demokrasia na haki za binadam ni nini, wanaimba tu kama wimbo. Ikiwemo na wewe.
Mara nyingi watu wanachanganya kati ya uhuru wa kujieleza (freedom of speech), utu wa binadam (human dignity) na haki za binadam (human rights). Ukitaka kujua hayo kama utapenda soma haki za binadam hapa chini:[emoji116]
Haki za binadamu kwa kifupi
Sehemu hii ina maelezo mafupi ya haki muhimu zaidi za kibinadamu zinazotambuliwa kimataifa. Kila ukurasa wa picha hutoa habari juu ya mshahara wa msingi, vyanzo vya sheria, majukumu ya umma, vizuizi halali, nk, kama haki ya msingi ya binadamu.
Picha za haki za msingi za binadamu
matibabu sawa
Utambuzi kama chombo cha kisheria / uwezo wa kisheria
Ubaguzi / usawa wa sheria
Usiri na familia
Uhuru wa harakati na makazi
Ulinzi wa faragha
Ulinzi wa familia
kabla ya uhuru
Dini, utamaduni, sayansi, elimu
Uhuru wa mawazo, dhamiri na kujieleza
uhuru wa dini
Uhuru wa Sanaa / Ushiriki katika Maisha ya Kitamaduni
haki za wachache
uhuru wa kitaaluma
Haki ya kupata elimu
Umma na siasa
Uhuru wa kujieleza na habari
uhuru wa kukutana
uhuru wa kujumuika
Haki za kisiasa
Kutengwa kwa uhuru na haki
Haki ya maisha
Uhuru wa kibinafsi / kunyimwa uhuru
haki za taratibu
Mateso, matibabu ya unyama
Kanuni isiyo ya kutosheleza
maisha
Haki ya chakula
Haki ya maji
Haki ya makazi
Haki ya afya
Haki ya usalama wa kijamii / misaada ya dharura
uchumi
haki za kazi
uhuru wa kujumuika
Marufuku ya utumwa na kazi ya kulazimishwa
Piga marufuku unyonyaji wa watoto
Ulinzi wa mali na utaalam