Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Hakuna simu original toka china.
Tushatapeliwa kitambo tu.
Acha kujidanganya mkuu simu zote tunazotumia zinatoka China. Kama huamini naomba tukutane uone simu nayotumia ipoje. Uniambie kama hapa Tanzania hasa kwenye maduka ya kariakoo utaipata kirahisi na kwa bei niliyonunulia huko China.
 
Na mimi natumia Hii S21 5G ila imepasuka kioo majuzi, nasubiria jibu nione bei ikoje ikinifaa niagize ingine au S22 ultra

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app


Samsung 22ultra 12RAM 512 GB 3600 YUAN
Huo mkono ni wa huyo binti muuzaji kama huamini njoo tukutane uongee naye kabisa.

 
Mpaka nimwombe aniwekee orodha ya simu zote na bei zake
Na Mimi Kuna mtu alinieleza habari Kama unazoeleza hivi nikampuuza Kuna Sony akanionyesha huku bei waliyoniambia laki Tisa na elfu hamsini China akaniambia mpaka inanifikia mkononi huku mkoani 440800 nikaamua kujitoa mhanga nimeipokea Jana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…