Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Huawei sikushauri mkuu wangu siku izi hazina playstore. Hata mimi nilikua napenda Huawei ila nilisha badili mtazamo baada ya kuondolewa kwenye Google Play services
Dah, nina uhakika ni chuki tu ya Mataifa ya Magharibi.
Waliona Huawey inaenda kuuwa soko la Simu zao.
Hivi kwa sasa ni simu gani nzuri ?

Hapa natumia simu ya Google Pixes 4plus ya laini moja.
 
Mungu akubariki sana kwa kutushirikisha hili.
 
Mkuu...ungetuwekea bei kwa tz sh...hyo habari ya yuan sijui nn unatuchosha tu...tunamambo mengi eb jarib kurahisisha.

Nikiagiza cm kwa hela yko na ikanifikia unanipa guarantee ya muda gani???

Hongera ni mwanzo mzuri...

Usisahau....uaminifu ni mtaji
 
Samahani.

Hizi simu za Samsung ni made in china au ni Korea huko ni soko tu lá kuuzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…