Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 775
- 1,745
Naagiza simu original China kama unataka kuagiza karibu (06877446471)
Kama kuna yeyote anatamani kuagiza simu kutoka China. Simu original karibu uagize namimi.
Namba zangu za simu ni 0687746471
Huyu mtu anayeniuziaga simu namwamini sana ameanza kuniuzia simu tangu 2019 mpaka sasa naagiza simu ya tano kutoka kwake.
Simu zake hazijawahi kunisumbua.
Kama una hofu yeyote unaweza kuniagiza mimi nakulipia kisha utanilipa simu yako ikifika.
View attachment 2943265
Ahsante sana
Hii ni kama bahati nilikua naagiza simu yangu nimeona hii fursa niwaletee na ninyi ndugu zangu.
Hii post niliandika jana usiku. Hivi muda huu tayari nimesha agiza hii simu na nimesha lipia tayari kama unavyoona hapo.
View attachment 2943366
Ni baadhi ya mizigo ambayo niliagiza. Juu ni Samsung S20 Ultra 5G. Hiyo samsung ni 1700 YUAN
Sifa kuu za hii simu ni kwamba ina WIRELESS CHARGING yaani unaweza kuichaji kwa kutumia simu nyingine. Bila kuchomeka kwenye umeme.
Hapa chini ni simu yangu nayotumia. Ni 5G pia.
View attachment 2943375
Hiyo chini ni motherboard ya laptop ya Lenovo niliyo itafuta Tanzania nzima nikaikosa.
Ilinibidi nianze kuitafuta kwenye majiji ya China. China nina marafiki wengi kwa hiyo ni kama nyumbani tu. Bahati nzuri nikampata rafiki yangu wa Beijing anasoma huko nikamwomba aingie mtaani kwa mafundi wanao tengeneza PC China. Akampata bwana mmoja yupo vizuri sana kwenye mambo ya PC lakini pia ana duka la electronics.
Huyo jamaa wa kwanza anaitwa Jerry IT CENTER
View attachment 2943367
Hilo box la motherboard ya PC nililitoka Beijing likaenda Guangzhou likaenda Hongkong likaenda Ethiopia likaenda Zanzibar ndio likafika Dar es Salaam.
Hii ni akaunti yangu ya kulipia manunuzi.
View attachment 2943368
Kwann ilo box la motherboard lililitia mzunguko wote huo wakati kuna frighters kibao huko wakutuma direct Tz?