Kesho naingia kwenye oral interview lakini hili limenitokea

Usijali sana mkuu hata kama hutopata hyo kazi ,ualimu unaweza kukufanya fukara
 
Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.

ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa.
Transcript hawazingatii sana, muhimu zaidi ni Cheti. Ila kwa usaili huu wa walimu sijajua itakuwa, ila jipe moyo na Kumuomba Mungu.
 
Chukua hiyo og nenda kapige muhiri wa mwana Sheria. Kisha nenda kwa Imani

Face them mapema,waeleze watakuelewa!

Mimi nakuombea ... Na ntafunga kesho na kukuombea mkuu! Usikate tamaaa

Hii kazi utapata
Si shauri Hawaface mapema kuwaeleza issue ilivyo hapo hakikuta msimamizi mkuda ni noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…