Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
- Thread starter
-
- #61
Mzee loss report kwasasa inawezekana?? Ila kopi ya hyo trans ninayoKwa ushauri na kuweka tafadhali tafuta loss report uwe nayo, ili ikitokea wamezingua unawaonesha hiyo ndo itakuwa msaada wako. Loss report kupata si kazi hii ni kwa uhakika zaidi
Jaribu mkuu, ukishindikana basi ila naamini Bongo akishindikani kituMzee loss report kwasasa inawezekana?? Ila kopi ya hyo trans ninayo
Inaweza saidia mkuu?Chukua loss report ya polisi
Nimechelewa ila nakwambia Bora uende na loss report na hiyo copy iliyo pigwa muhuri wa mahakam other wise wanakuweka pembeniWakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.
ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa.
Chukua police loss reportInaweza saidia mkuu?
Awanaga muda wa kufanya mazungumzo na mtu akachukue police loss report na hiyo certified copyJaribu mkuu, ukishindikana basi ila naamini Bongo akishindikani kitu
Good ,police loss report muhimu hapoNi colored au ni ile nyeusi?...kwanini kama ni colored na inaonekana vizuri usiipige mhuri thenu ifanyie lamination?. Unaweza jiongeza na polisi pia. Njia zote mbili hizo ni za kubahatisha.
Mkuu nimekuelewa sana mzee, let me try kwenda tu ,nikweli ni makosa yangu.Yaani umengojea siku moja kabla ya interview ndio unaandaa vyeti? Hauko serious na interview hautoruhusiwa kuingia!
Utanisamehe dogo kama ukweli huu ni mchungu. Hauwezi kuwa mzembe kiasi hicho kwenye maisha kisha utarajie mafanikio.
Next time fanya kila kitu mapema. Transcript chuo unapewa nyingi kwa kadri utakvyolipia. Laiti ungalipanga mambo yako mapema basi ungeenda chuo ukalipia nyingine wanakupa tu. Transcript wala haihitaji loss report, hata ukitaka kopi kumi wanakupa. Ni hela yako tu.
Vyeti kwanza mzeeUkifika pale shusha formula za calculus kutoka kichwani, wathibitishie kwa darasa la mitihani, katika somo lako wote watapata A kwenye mtihani wa taifa; hawataangaika na vyeti vyako
Nitakupa mrejesho keshoNi colored au ni ile nyeusi?...kwanini kama ni colored na inaonekana vizuri usiipige mhuri thenu ifanyie lamination?. Unaweza jiongeza na polisi pia. Njia zote mbili hizo ni za kubahatisha.
Awezi ingia bila transcriptUkifika pale shusha formula za calculus kutoka kichwani, wathibitishie kwa darasa la mitihani, katika somo lako wote watapata A kwenye mtihani wa taifa; hawataangaika na vyeti vyako
Nenda na police loss reportMkuu nimekuelewa sana mzee, let me try kwenda tu ,nikweli ni makosa yangu.
Mkuu asant kwa ushauri, ninajarbu kwenda kuliko kutokwenda kabisa.Nenda na police loss report
Imechukua replies 19 kupata jibu sahihi kwa mtoa mada. Wengi wamejibu hovyo hovyo kuashiria hata hawajui chochote.Chukua hiyo og nenda kapige muhiri wa mwana Sheria. Kisha nenda kwa Imani
Face them mapema,waeleze watakuelewa!
Mimi nakuombea ... Na ntafunga kesho na kukuombea mkuu! Usikate tamaaa
Hii kazi utapata
Huku Sekta binafsi, tunaangalia uwezo wako wakufaulishaVyeti kwanza mzee