makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Asante sana MkuuImechukua replies 19 kupata jibu sahihi kwa mtoa mada. Wengi wamejibu hovyo hovyo kuashiria hata hawajui chochote.
Hongera mkuu. Huu ndio ushauri aliotakiwa kuupata kwenye comment ya kwanza.
Au kwakuwa ameshasema ana degree asingetakiwa kuleta huu uzi kabisa. Haya ni mambo ya kawaida kabisa.
Asante sanaMungu akusimamie.
Amen mkuu, nitafanya hvyoImechukua replies 19 kupata jibu sahihi kwa mtoa mada. Wengi wamejibu hovyo hovyo kuashiria hata hawajui chochote.
Hongera mkuu. Huu ndio ushauri aliotakiwa kuupata kwenye comment ya kwanza.
Au kwakuwa ameshasema ana degree asingetakiwa kuleta huu uzi kabisa. Haya ni mambo ya kawaida kabisa.
Sawa police loss report unaweza ipata online ,Mkuu asant kwa ushauri, ninajarbu kwenda kuliko kutokwenda kabisa.
Imechukua replies 19 kupata jibu sahihi kwa mtoa mada. Wengi wamejibu hovyo hovyo kuashiria hata hawajui chochote.
Hongera mkuu. Huu ndio ushauri aliotakiwa kuupata kwenye comment ya kwanza.
Au kwakuwa ameshasema ana degree asingetakiwa kuleta huu uzi kabisa. Haya ni mambo ya kawaida k
Uwajui utumishi wwImechukua replies 19 kupata jibu sahihi kwa mtoa mada. Wengi wamejibu hovyo hovyo kuashiria hata hawajui chochote.
Hongera mkuu. Huu ndio ushauri aliotakiwa kuupata kwenye comment ya kwanza.
Au kwakuwa ameshasema ana degree asingetakiwa kuleta huu uzi kabisa. Haya ni mambo ya kawaida kabisa.
Daaa mkuu sawa, ila nitajarbu tuHawezezi kukuruhusu , try again next time.
Mkuu asante, aisee nilianza kupitia vtu vilikaa kichwan but unfortunately nimeanza kuloose focus daaNi sahihi panga vyeti vyako transcript hawazingatii Sana mara hivyo vyeti wanataka kuhakiki Tu tena wale watu wa utumishi au unaweza kuweka iyo transcript mwishoni mwishoni yaan panga ivi Anza na o'level,A'level then transcript maliza na cha chuo apo Sana nenda kwenye usahili tuliza akili mkuu usiwe na wasiwasi usije uka loose focus
Mkuu asante, aisee nilianza kupitia vtu vilikaa kichwan but unfortunately nimeanza kuloose focus daa
TranscriptDaaa mkuu sawa, ila nitajarbu tu
Sawa mwalimu , hakika nimekuwa mzembePole Mwalimu.
Kwenye usaili wenu trascript inatakiwa kama huna usitegemee kufanya usaili, Bahati mbaya umekuwa mzembe sana unakagua siraha dakika za mwishoni kabisa.
PSRS wapo seriuos sana, Watu wanarudishwa kwa kukosa cheti origina cha kuzaliwa hata kama una copy huruhusiwi kuingia kufanya usaili ije kuwa hiyo trascript.
Omba sana kwa Mungu wako na ukajaribu bahati yako.
Pole Mkuu!Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya kwanza nilipitishwa ,badae akaja mkuu kidgo akaniweka pemben akasema nisubr, wakajadiliana kama watu 4 hivi ,mwisho wakasema haiwezekani, ila wakanishaur kwassbbu nina masomo mawili na yana interval ya siku ya usaili basi nifate tu hyo trans original.
Asanteni kwa ushauri , kwa wajuz ,je trans inachukua muda gani kuipata na ni lazima niwepo mimi mwenyewe? Nipo songea, nilisoma SUA ,gharama tu ya nauli kwenda na kurudi 120,000.