Uchaguzi 2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

Shida sasa kama mafundi hawajakagua vizuri brake! Maana bola brake hilo gari ni hatari, anaweza kusema Wazaramo nasikia kwa mauno hamjambo! Mtanipa??!
Ile gari iliyoungwa vyuma vya kutosha itafanya route zake tena?Tupeni ratiba, baada ya mlimani city kituo gani kinafata?
 
Ile miziki mnayopiga kwenye zile spika mkweche huwa ni nini? 😂😂, Kuhusu swala la mziki na wasanii huna hoja ya msingi mkuu.

Nnayo sana ,wapo Watu wanao zuzuka na Wasanii hivyo watakuja kuwashuhudia Wasanii wao na sio kingine.
 
Nyomi ya wanafunzi na watumishi wa umma. Siendi hata nikiwa marehemu
 
Ndio Sababu tunayaita hayo ni matamasha ,kwani bila ya kuwa na Wasanii kwenye kampeni hao hao Wasanii hawawezi kuwapigia kura !?.
tunawahitaji na washabiki wao waje watusikilize na wasikilize nyimbo za kampeni za Magufuli zikishushwaa kuwahamasisha wampe kura zote za ndiyo JPM
 
Kesho nchi itasimama wanaccm watajaa wanachadema watajaa kila chama kitakuwepo
Dar inawakazi 8m..uwanja wa Mkapa una capacity ya 60k..mkajipange MaCCM
 
tunawahitaji na washabiki wao waje watusikilize na wasikilize nyimbo za kampeni za Magufuli zikishushwaa kuwahamasisha wampe kura zote za ndiyo JPM

Sawa Mkuu ,kila kheri na Tamasha lenu.
 
Propaganda vipi wakati mkurugenzi aliitisha kikao na wakuu wa shule then akawapa maelekezo
Nina uhakika na ninachokisema. Acheni watoto wasome
 
Propaganda vipi wakati mkurugenzi aliitisha kikao na wakuu wa shule then akawapa maelekezo
Nina uhakika na ninachokisema. Acheni watoto wasome
Hao Ni watoto wako wasiojitambua,wakwangu wataendelea na masomo Kama kawaida.
 
Kwa hiyo Kodi za watanzania zinaenda kuteketea kwenye airtime za tbc kwa ajili ya wasanii?
 
Karibuni tushuhudie fiesta,kiingilio ni bureeeeeeeeeee.
 
Magufuli yeye anatangaza mafanikio tu hana muda wa taarabu za kina Tundu Lissu. By the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
Hata na mimi sielewi kwanini mtu awe POMBE??
 
Mataga bhana😂😂
 
Wakati amejichomeka tuu mwenyewe last night kwenye kidhungu nikajua hiyi mwisho ni hajari kwenye hotuba
 
Hao Ni watoto wako wasiojitambua,wakwangu wataendelea na masomo Kama kawaida.
Sio watoto wangu mkuu. Ni wa taifa hili na wamelazimishwa kwenda huko. Trust me bila ujinga huu mnaofanya hizo nyomi mngezisikia kwa jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…