Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

Je ni uongo kwamba akina Tamimu, Maganga na wenzake walitaka kumpindua Nyerere? Baada ya mmojawapo kuachiwa (Maganga) kwenye mahojiano mbalimbali alikiri au hakukiri kutaka kumpindua Mwalimu? Ukishajibu hayo maswali rudi hapa tuendelee...
Ccm wana kipawa cha kuukana ukweli daima
 
Urio angekuwa ni potential witness upande wa mashitaka angekuwa ni number one witness to testify .... hii maana yake mashahidi Wakuu katika hii kesi ni Kingai, mahita na huyu corporal.... Urio ni story ya kutunga na hawezi kumleta kwakuwa urio akikana maelezo yake basi hii kesi hata ikienda kwenye main case itakuwa imeisha ... kwavile urio awali urio aliteswa na kwakuogopa urio kukana maelezo .... urio hata letwa na jamhuri kama shahidi

Mashahidi upande wa Jamhuri bado wengi waliopo kwenye orodha, akiwemo Sirro kwa kauli zake…. japo wameanza kuwapunguza lakini idadi tajwa ni 23.

Urio anaingilia kwenye kauli ya Kingai, hata kama hakuwemo kwenye orodha inabidi aitwe.
 
Mwamunyange alikuwa Shahidi katika kesi ya kumpindua Nyerere 1981 iliyowausisha wanajeshi kama uliifuatilia sasa sijui Mwamunyange gani unaemzungumzia?
Sasa hivi kweli mnaweza kulinganisha hizo kesi mbili kweli?? Unamjua Nyerere kweli wewe??
 
Acheni huu UPUMBAVU ndio maana mnaishi kwenye makwapa ya watawala sababu mna uwezo duni wakufikiri issue sio mtu kufungwa inatakiwa mtu afungwe kwa kesi ya kweli sio ule UPUMBAF mnafanya

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
[emoji1666][emoji1666] Eti wanalinganisha hii kesi na ile ya kumpindua Nyerere mwaka 1981, yaani wanachekesha kweli.
 
Ni nadra sana kuona mtu kama Luteni wa Jeshi aliyeko kazini anateswa hovyo hovyo na hawa ma copro wa Police - nafikiri mama arudishe hadhi ya jeshi letu hili haraka mno - kesi ya Mh. Mbowe imeonyesha wazi wazi.

Kama Mwanajeshi kakiuka basi kuna mamlaka ya kijeshi yamchukulie hatua lakini si kumtoka kambini na kuteswa na raia wakakamavu. Hata leo hii wananchi wakiwaona JWTZ wanapita kwa mazoezi husimama kushangilia huku kina mama kupiga vigelegele - JWTZ ni jeshi letu wananchi lipewe hadhi yake.

Awamu ya tano kuna mambo imefanya hayakuwa sawa kwenye hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Kwani JWTZ wana hadhi kubwa kuwazidi PTCCM ?
 
Kwa hiyo kumbe matokeo tayari yameshapangwa, kumbe tunapoteza muda wetu bure wakati kesi ilikuwa kweli ya kubumba...[emoji14][emoji14][emoji14]
Si wanamsikiliza Sirro? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utafaidika na nini? Waza yule alitupwa porini angekuwa ndugu yako ungekuja na kuandika yote haya.
Mkuu hawa watu walijengewa chuki mbaya sana na wakawa makatili hata kumpita Joseph Konyi kule Uganda aliyekuwa anakata watu mikono na miguu. Halafu ukiwauliza hii chuki yote kisa ni nini?? Jibu utawasikia "hawa siyo wazalendo, mara wanatukwamisha etc etc"... Yaani chuki ya kisiasa imewafanya kuwa makatili kama mashetani.
 
Adamoo na mwenzake walienda morogoro kabla ya kuanza safari ya Moshi - Je walikwenda kumwona nani? kwa kusudi lipi? Je yawezekana akawa Luteni Urio na hapo ndipo tatizo likaanziapo?
Mini nafikiri hivyo.
Walikuwa kikosi cha Ngerengere Morogoro, sasa watakosaje kuwa na jamaa au marafiki? Kama wewe umefanya kazi Mbeya kwa miaka kadhaa utakosa marafiki?
 
Kuna nyakati unaweza kuhoji uwepo wa mungu na nguvu zake kama anaweza kukubali akina Kingai na Mahita wawe wanapumua katika Ulimwengu huu. Chuki za kijinga sana.
 
Acha upotoshaji wa makusudi, hao watu walishatimuliwa jeshini hivyo ni raia wa kawaida tu na wanakuwa treated kama raia, ndiyo maana waliweza hata kuomba kazi ya ulinzi kwa bwana Mwamba.
Jiulize kwa nini wakiuguwa kaxini wanatimuliwa CDF Mabeyo analo lakujibu kwa nini ameruhusu makomandoo kuchezewa na vichwa vya panzi akina kingai matata msemwa goodluck. Yeye na sirro lazima wapandishwe kizimbani
Na wao makomando kwa nini hawakuvunja koromeo hata polisi mmoja? Mbona yule tajiri wa Mara alichakaza risasi wasiojulikana kwa ujinga kama huu huu waliofanyiwa hawa makomando? Na baadaye alionekana hana kosa
Sirro na Mabeyo ni platform ya ujambazi uuaji utesaji na utekaji siwezi Amini makomandoo wa JWTZ waliotumikia nchi hadi Congo Darfur Sudan wachezewe na kuteswa na polisi empty tin kama kingai na Matata hii impunity lazima ikomeshwe
 
DPP kama ana uelewa mpana sana ni bora akaifuta hii kesi; Just imagine mpaka sasa jamhuri tayari imeshaleta mashahidi watatu kati ya 23 na wote ushahidi wao hauna consistency,sasa wakifika kwa shahidi wa 23 si ndo itakuwa balaa hasa ukizingatia utetezi wana mawakili ambao ni very competent [emoji1787] [emoji1787] Hii case ishakuwa ni mess kwa upande wa serikali
Ukumbuke kwamba hao mashahidi 3 ni out of wale 23 wa kesi ya msingi. Hawa 3 ni ili kuthibitisha kwamba maelezo ya Adamoo yaliyoletwa mahakamani na polisi yapokelewe au yatupiliwe mbali kwa maana ya kwamba alilazimushwa kusaini baada ya kuteswa sana.
 
Kesi bado haijaanza kusikilizwa hivyo
tuweke akiba ya maneno kwani yapo mengi tusiyoyajua

Ni mapema mno kusema kesi hii ni ya kubumba na isiyo na ushahidi wowote
 
Back
Top Bottom