Ccm wana kipawa cha kuukana ukweli daimaJe ni uongo kwamba akina Tamimu, Maganga na wenzake walitaka kumpindua Nyerere? Baada ya mmojawapo kuachiwa (Maganga) kwenye mahojiano mbalimbali alikiri au hakukiri kutaka kumpindua Mwalimu? Ukishajibu hayo maswali rudi hapa tuendelee...
Urio angekuwa ni potential witness upande wa mashitaka angekuwa ni number one witness to testify .... hii maana yake mashahidi Wakuu katika hii kesi ni Kingai, mahita na huyu corporal.... Urio ni story ya kutunga na hawezi kumleta kwakuwa urio akikana maelezo yake basi hii kesi hata ikienda kwenye main case itakuwa imeisha ... kwavile urio awali urio aliteswa na kwakuogopa urio kukana maelezo .... urio hata letwa na jamhuri kama shahidi
Na wewe endelea kukalia kitu chenye ncha kali [emoji12][emoji12]Endeleeni kuomboleza siku Hukumu yake ikitoka mtajua kuwa mlikuwa hamjui
Sasa hivi kweli mnaweza kulinganisha hizo kesi mbili kweli?? Unamjua Nyerere kweli wewe??Mwamunyange alikuwa Shahidi katika kesi ya kumpindua Nyerere 1981 iliyowausisha wanajeshi kama uliifuatilia sasa sijui Mwamunyange gani unaemzungumzia?
[emoji1666][emoji1666] Eti wanalinganisha hii kesi na ile ya kumpindua Nyerere mwaka 1981, yaani wanachekesha kweli.Acheni huu UPUMBAVU ndio maana mnaishi kwenye makwapa ya watawala sababu mna uwezo duni wakufikiri issue sio mtu kufungwa inatakiwa mtu afungwe kwa kesi ya kweli sio ule UPUMBAF mnafanya
Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Hakika aiseeeeKuna assassinations za fictions zinakuja ngoja tuombe uhai, Mungu ni mwema hii aibu kwa makomandoo lazima italipwa soon. Uzuri Rais mwanamke watajuta kutia doa makomandoo.
Kwani JWTZ wana hadhi kubwa kuwazidi PTCCM ?Ni nadra sana kuona mtu kama Luteni wa Jeshi aliyeko kazini anateswa hovyo hovyo na hawa ma copro wa Police - nafikiri mama arudishe hadhi ya jeshi letu hili haraka mno - kesi ya Mh. Mbowe imeonyesha wazi wazi.
Kama Mwanajeshi kakiuka basi kuna mamlaka ya kijeshi yamchukulie hatua lakini si kumtoka kambini na kuteswa na raia wakakamavu. Hata leo hii wananchi wakiwaona JWTZ wanapita kwa mazoezi husimama kushangilia huku kina mama kupiga vigelegele - JWTZ ni jeshi letu wananchi lipewe hadhi yake.
Awamu ya tano kuna mambo imefanya hayakuwa sawa kwenye hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Si wanamsikiliza Sirro? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo kumbe matokeo tayari yameshapangwa, kumbe tunapoteza muda wetu bure wakati kesi ilikuwa kweli ya kubumba...[emoji14][emoji14][emoji14]
Hao ni raia wakakamavu.Kwani JWTZ wana hadhi kubwa kuwazidi PTCCM ?
Mkuu hawa watu walijengewa chuki mbaya sana na wakawa makatili hata kumpita Joseph Konyi kule Uganda aliyekuwa anakata watu mikono na miguu. Halafu ukiwauliza hii chuki yote kisa ni nini?? Jibu utawasikia "hawa siyo wazalendo, mara wanatukwamisha etc etc"... Yaani chuki ya kisiasa imewafanya kuwa makatili kama mashetani.Utafaidika na nini? Waza yule alitupwa porini angekuwa ndugu yako ungekuja na kuandika yote haya.
Walikuwa kikosi cha Ngerengere Morogoro, sasa watakosaje kuwa na jamaa au marafiki? Kama wewe umefanya kazi Mbeya kwa miaka kadhaa utakosa marafiki?Adamoo na mwenzake walienda morogoro kabla ya kuanza safari ya Moshi - Je walikwenda kumwona nani? kwa kusudi lipi? Je yawezekana akawa Luteni Urio na hapo ndipo tatizo likaanziapo?
Mini nafikiri hivyo.
Jiulize kwa nini wakiuguwa kaxini wanatimuliwa CDF Mabeyo analo lakujibu kwa nini ameruhusu makomandoo kuchezewa na vichwa vya panzi akina kingai matata msemwa goodluck. Yeye na sirro lazima wapandishwe kizimbaniAcha upotoshaji wa makusudi, hao watu walishatimuliwa jeshini hivyo ni raia wa kawaida tu na wanakuwa treated kama raia, ndiyo maana waliweza hata kuomba kazi ya ulinzi kwa bwana Mwamba.
Sirro na Mabeyo ni platform ya ujambazi uuaji utesaji na utekaji siwezi Amini makomandoo wa JWTZ waliotumikia nchi hadi Congo Darfur Sudan wachezewe na kuteswa na polisi empty tin kama kingai na Matata hii impunity lazima ikomeshweNa wao makomando kwa nini hawakuvunja koromeo hata polisi mmoja? Mbona yule tajiri wa Mara alichakaza risasi wasiojulikana kwa ujinga kama huu huu waliofanyiwa hawa makomando? Na baadaye alionekana hana kosa
Ukumbuke kwamba hao mashahidi 3 ni out of wale 23 wa kesi ya msingi. Hawa 3 ni ili kuthibitisha kwamba maelezo ya Adamoo yaliyoletwa mahakamani na polisi yapokelewe au yatupiliwe mbali kwa maana ya kwamba alilazimushwa kusaini baada ya kuteswa sana.DPP kama ana uelewa mpana sana ni bora akaifuta hii kesi; Just imagine mpaka sasa jamhuri tayari imeshaleta mashahidi watatu kati ya 23 na wote ushahidi wao hauna consistency,sasa wakifika kwa shahidi wa 23 si ndo itakuwa balaa hasa ukizingatia utetezi wana mawakili ambao ni very competent [emoji1787] [emoji1787] Hii case ishakuwa ni mess kwa upande wa serikali
Ila Policcm ni wakakamavu kuwazidi JWTZ.Hao ni raia wakakamavu.
Eehe ndio hapo watakapo gawana maghara ya silaha harafu hakuna atakayebaki salamainakuwaje CDF anacollude na IGP kutesa makomandoo lazima alijuwa mission yoteIla Policcm ni wakakamavu kuwazidi JWTZ.
Huko mbeleni IGP anaweza akawa anampa maagizo CDF