Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

Kesi bado haijaanza kusikilizwa hivyo
tuweke akiba ya maneno kwani yapo mengi tusiyoyajua

Ni mapema mno kusema kesi hii ni ya kubumba na isiyo na ushahidi wowote
Msingi wa kesi ni hao makomandoo so hata kama ni tahira utajuwa kesi umeundwa na wajinga kwa muongozo wa IGP CDF DPP NA TISS aibu nchi inaenda kusiko tukatae hili litasababisha maafa na machafuko makubwa
 
Je huyu Moses hana ndugu kama wapo waliwai kutangaza kupotea kwake, kifo chake? Kuna taarifa yoyote kutoka kwenye familia yake toka hii kesi ianze au kabla ya kesi kuanza?
 
Mashahidi upande wa Jamhuri bado wengi waliopo kwenye orodha, akiwemo Sirro kwa kauli zake…. japo wameanza kuwapunguza lakini idadi tajwa ni 23.

Urio anaingilia kwenye kauli ya Kingai, hata kama hakuwemo kwenye orodha inabidi aitwe.
Ni Lazima aitwe maana ndo muanziasha taarifa za kuwepo kwa njama za kula ugaidi
 
Dharau kama hizi ndio zinazofanya tuwape kichapo.Kudos Police!
 
Je huyu Moses hana ndugu kama wapo waliwai kutangaza kupotea kwake, kifo chake? Kuna taarifa yoyote kutoka kwenye familia yake toka hii kesi ianze au kabla ya kesi kuanza?
Wanaambiwa tu kaenda sudani - special military mission - unafanyaje sasa, si unaondoka kurudi home.
 
Acheni huu UPUMBAVU ndio maana mnaishi kwenye makwapa ya watawala sababu mna uwezo duni wakufikiri issue sio mtu kufungwa inatakiwa mtu afungwe kwa kesi ya kweli sio ule UPUMBAF mnafanya

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Wewe unaonekana uwezo wako wa kufikiri unaishia ilipoishia pua, kwani mbowe ni nani asiwe gaidi au ni masihi katoka kwa bwana, ndio maana tunasema wafuasi wa gaidi ni manyumbu mmeshikiwa akili
 
Unachekesha kweli ndio maana tunasema nyie bavicha na bawacha ni Kama misukule,sio nyinyi mnaosema mbowe sio gaidi sasa unajichanganya tena
 
Hapa umeba ushahidi wa uongo
"...Lakini kwenye ushahidi wa kesi ndogo uliotolewa na Komandoo Ling’wenya (mtuhumiwa), yeye kamtaja Urio kuwepo kwenye moja ya mahabusu za hao wanaoitwa magaidi na amemshuhudia akipitia mateso kama hao wengine...."

Huyo shahidi aliwezaje kumwona Urio akiteswa wakati mwinzie aliyekamatwa naye amedai hakuwa anaonna kwa sura ila sauti tu? Think deeper to analysis what is being stated and evaluate its relevance
 
Double agent?
 
Alafu nasikia Sirro na waJWTZ wengine ni mashahidi wa utetezi... Patamu hapo😂😂😂
 
Kwani huyo Urio bado ni muajiliwa wa jeshi au na yeye alishafukuzwa?
Kuna siri hatujaijua...kama kweli Mbowe aliomba walinzi binafsi kuoitia Urio....na Urio akamua take advantage apate vyeo faster kudanganya kuwa Mbowe ana ajenda siri ya ugaidi kuwatumia ex comando ....sidhani huyo Urio amedanganya umma ana lengo lake kupata vyeo tu hakuna lolote la ugaidi....kama kweli huyo Moses na Urio waliteswa ni botion tu kuwahadaa hao wengine....waone nao waliteswa kumbe sio wasaliti uongo mtupu hao ndio vibaraka snitch hao wamedanganya....Mbowe sio gaidi .....mateso makali waliyowapa na maelezo wameandika polisi ......kulazimisha Lingwenya ku sign kuwa walitumwa Mbowe ni upuuzi....waache utoto
 
Agiza unachokunywa nakuja mkuu,una logic pana sana aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…