Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK kafanya yake, Rostam humkosi hapo pamoja na KinanaKwa yote hayo yaliyotokea tume ingia kwenye mdomo wa mamba
Jinga hilo. Kwanini wanauza vya Tanganyika tu.Nimemsikiliza DG wa Bandari sijamuelewa
eti DP wanaendesha Bandari ya Kigali kwa hiyo tukaona tushirikiane nao
yaani reference ya kupewa Bandari zote za Tanganyika ni kusimamia maghala ya Kigali (eti Bandari)
Akili ndogo Sana hiyo. You can not reason in such logicHaya yote ni kwasababu ya hawa chadema tu. Hawa ndiyo maadui wa taifa! Si umeona bwana kulwa wanavyojadili mkataba wa bandari pale dodoma! Tena wanaongozwa na lisu, msigwa, mbowe, lema na heche. Huyu zito huyu ndiyo kaleta huu mkataba! Isingekuwa chadema huu mkataba usingeletwa bungeni.
Hahahahaha.
Kulwa jilala adui wa watanzania na mali zao ni ccm wewe endelea kutukana watz utaelewa tu
chadema ❌️chadema
bwana kulwa ❌️bwana kulwa
dodoma ❌️dodoma
lisu ❌️lisu
msigwa ❌️msigwa
mbowe ❌️mbowe
lema ❌️lema
heche ❌️heche
zito ❌️zito
Kulwa jilala ❌️Kulwa jilala
watanzania ❌️watanzania
ccm ❌️
bungeni ❌️bungeni
wabunge ❌️wabunge
halari ❌️halari
kabsaa ❌️kabsaa
Yaani inaudhi,Bandari zote.Imagine Bahari ,maziwa na nchi kavu.Yaani ninatamani nikamchape Samia kofi .Nimemsikiliza DG wa Bandari sijamuelewa
eti DP wanaendesha Bandari ya Kigali kwa hiyo tukaona tushirikiane nao
yaani reference ya kupewa Bandari zote za Tanganyika ni kusimamia maghala ya Kigali (eti Bandari)
Walitulia,Obama akaja kuitembelea, kelele zikaishaMasuala ya symbion walitulia? Kila Leo watu wanapiga kelele makampuni ya kinyonyaji ya kizungu.
Huwa waislamu mnajiweka special group, kila jambo mnahisi mnashambuliwa kuhusu Imani yenu.
Mkuu umeisahau TANESCO 😂😂Uzi wako ni mzuri mno ya kuwa hawa sio watu wepesi! Ukiingia nao tuu mkataba halafu uje kuzingua utaona cha mtemakuni. Hii kampuni ndiyo inayotakiwa katika ulimwengu wa sasa maana yake ni kuwa hawa jamaa sio wababaishaji.
Kwa maoni yangu hawa wapewe sekta zote nyeti kama Tanroad, TRA, Takukuru, BOT na nyingine nyingi tuu.
Wahuni wanataka watuingize au washatuingiza mkataba wakijua wananchi watakataa halafu watauvanja. Lengo ni ili hiyo kampuni idai damages mabilion wagawiwe ngawira. Hakika mama anatuingiza cha kike. Tupinge kwa nguvu.Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:
1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Kenya.
2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.
3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Djibouti.
4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Pakistan.
5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by DP World against India. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by India.
6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.
7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Chile.
8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Uruguay.
9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Peru.
10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Brazil. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Brazil.
It is important to note that these are just a few of the many cases that DP World has been involved in. DP World is a major player in the global port industry, and it has been involved in a number of disputes with governments around the world. These disputes have often been complex and have involved significant financial stakes.
The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear how they will be resolved. However, they provide a glimpse into the challenges that DP World faces as it operates in a number of different countries.
Pia hata Makanisa na Misikiti yote apewe mtu anayeweza kusimamia vyemaMkuu umeisahau TANESCO 😂😂
matusi ya nini sasa?Dp wanaendesha bandari marekani na ulaya we ng'ombe...arabphobia(islamophobia) inawasumbua Sana,angekua mzungu hapo vikundu mngevibana
Too late my dear!....inaudhi,....Yaani ninatamani nikamchape Samia kofi .
Mkataba wa milele uko wapi!?matusi ya nini sasa?
'Hatumkatai Kaburu kwa Rangi yake…tunamkataa kwa tabia zake'-Julius Nyerere
kwani features za Bepari zinategemea rangi?
kwani Mkataba wa huko Ulaya na Marekani nao ni wa milele na marufuku kujitoa hata waki under perform kama wa huku?
Mbona hii ishu Samia haipeleki ZanzibarHere is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:
1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Kenya.
2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.
3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Djibouti.
4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Pakistan.
5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by DP World against India. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by India.
6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.
7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Chile.
8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Uruguay.
9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Peru.
10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Brazil. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Brazil.
It is important to note that these are just a few of the many cases that DP World has been involved in. DP World is a major player in the global port industry, and it has been involved in a number of disputes with governments around the world. These disputes have often been complex and have involved significant financial stakes.
The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear how they will be resolved. However, they provide a glimpse into the challenges that DP World faces as it operates in a number of different countries.
Kwenda wapi!Sa100 must go!!!!