Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam



DPWorld wako kwenye second phase ya kuitanua Bandari ya Berbera Somaliland.

Hawa Jamaa wako vizuri kuliko Wachina ambao ni wezi.
 
Akili ndogo Sana hiyo. You can not reason in such logic
 
chadema ❌️
CHADEMA ✅️

bwana kulwa
bwana kulwa ❌️
Bwana Kulwa ✅️

dodoma ❌️
Dodoma ✅️

lisu ❌️
Lissu ✅️

msigwa ❌️
Msigwa ✅️

mbowe ❌️
Mbowe ✅️

lema ❌️
Lema ✅️

heche ❌️
Heche ✅️

zito ❌️
Zitto ✅️

Kulwa jilala
Kulwa jilala ❌️
Kulwa Jilala ✅️

watanzania
watanzania ❌️
Watanzania ✅️

ccm ❌️
CCM ✅️
 
Nimemsikiliza DG wa Bandari sijamuelewa

eti DP wanaendesha Bandari ya Kigali kwa hiyo tukaona tushirikiane nao

yaani reference ya kupewa Bandari zote za Tanganyika ni kusimamia maghala ya Kigali (eti Bandari)
Yaani inaudhi,Bandari zote.Imagine Bahari ,maziwa na nchi kavu.Yaani ninatamani nikamchape Samia kofi .
 
Masuala ya symbion walitulia? Kila Leo watu wanapiga kelele makampuni ya kinyonyaji ya kizungu.

Huwa waislamu mnajiweka special group, kila jambo mnahisi mnashambuliwa kuhusu Imani yenu.
Walitulia,Obama akaja kuitembelea, kelele zikaisha
 
Mkuu umeisahau TANESCO 😂😂
 
Wahuni wanataka watuingize au washatuingiza mkataba wakijua wananchi watakataa halafu watauvanja. Lengo ni ili hiyo kampuni idai damages mabilion wagawiwe ngawira. Hakika mama anatuingiza cha kike. Tupinge kwa nguvu.
 
Dp wanaendesha bandari marekani na ulaya we ng'ombe...arabphobia(islamophobia) inawasumbua Sana,angekua mzungu hapo vikundu mngevibana
matusi ya nini sasa?


'Hatumkatai Kaburu kwa Rangi yake…tunamkataa kwa tabia zake'-Julius Nyerere

kwani features za Bepari zinategemea rangi?

kwani Mkataba wa huko Ulaya na Marekani nao ni wa milele na marufuku kujitoa hata waki under perform kama wa huku?
 
Sasa hao waarabu nasikia watatoa mpka trioni 26 kwa mwaka wakati now tunapata trioni 7.Sasa kama hatuwataki waarabu tufanye nini ili angalau tufike hata 14 trioni kwa mwaka ?
 
Mkataba wa milele uko wapi!?
 
Mbona hii ishu Samia haipeleki Zanzibar
Na kuna Bandari huko????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…