Hapana hii kesi katika utawala wa sheria haina mandate na ilipaswa iwe imeshatupiliwa mbali lakini figisu figisu ndio zimefanya iwe hai mpaka leo hii...Jr, mbona umetoa maoni mapema! tunaomba tushinde, tuwe na subira
Itifaki imezingatiwaTundu Lissu, Mtwobyesa, Ishebakaki, na wengine. Jumla wako saba au nane
Lisu tena? Hahahahah wajipange aiseeeTundu Lissu: Kama kampuni inatakiwa iwe na Memorandum of Association....iko wapi?
Jibu: sifahamu
Tundu Lissu: Inatakiwa iwe na Bodi ya Wakurugenzi...ipo?
Jibu: sifahamu
Tundu Lissu: Nilikusikia ukisema mliwaandikia wakurugenzi ili wawape taarifa...ulimaanisha nini kama sasa unasema haujui kama ina bodi ya wakutugenzi??