Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Tundu Lissu: Kama kampuni inatakiwa iwe na Memorandum of Association....iko wapi?

Jibu: sifahamu

Tundu Lissu: Inatakiwa iwe na Bodi ya Wakurugenzi...ipo?

Jibu: sifahamu

Tundu Lissu: Nilikusikia ukisema mliwaandikia wakurugenzi ili wawape taarifa...ulimaanisha nini kama sasa unasema haujui kama ina bodi ya wakutugenzi??
Lisu tena? Hahahahah wajipange aiseee
 
Back
Top Bottom