Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Moja kati ya mambo ambayo Mashahidi hasa hawa Mapolisi huwa wanalaani ni kukutana na Tundu Lisu kizimbani.

Nahisi huwa wanaomba Lishushwe radi liwafumue au kipite kimbunga kifumue Mahakama na kesi iahairiahwe.

Maana kule sio kuaibika, Long Live Tundu Lissu..

Mbumbumbu wa Sheria tunajifunza mengi sana kwenye hivi 'Vikesi' ambavyo wewe unakuwa Wakili.
 
Lisu hajauliza swali hata moja la maana!
 
Ni Teknikalitiizi tu ndiyo ana mudu. Hata hivyo na Mpongeza, Mh. Lissu, kwa kujua what 'logic means' katika kutetea wateja wake. Hapa Wakuu wetu hawana kesi inavyoelekea. Ila wakimaliza hili, waharakishe kuweka sawa mambo ili kusije kutokea matatizo kama haya siku za usoni.
[HASHTAG]#Free_[/HASHTAG]Max_and_Mike
 
Back
Top Bottom