Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Kwan wanataka wamjue huyo Furhar ili iweje sasa?

Nilitegemea serikali ifutilie habari aliyoileta na kuwafungulia mashtaka hao Oilcom, wao wanatumia nguvu nyingi kumpata mleta taarifa!
Labda wanataka kumziba mdomo kwa kutoa taarifa zao hadharani au kile chombo cha uchunguzi kina wahusika ndani.
Wakishampata wanaenda kumwambia mhalifu sisi tungejuaje kama sio fulani kuja kutuambia.
 
uuhh jamiiforum ni mtandao wa chadema kuna wakat wanashindwa kujcha kabisa..ndomana humu ndan ukiandka habar za kushoto za watu wa chadema znatolewa haraka au kuhamishwa dah hatar sana watu wanamtukana rais wala hawaban ila mtu mwngne akisema fulan mjinga basi wanakuban daaah kwel jamiichadema ahsante sana
 
Sipati Picha Kwa Mfano Shahidi Ukimezeshwa Maneno Halafu Ukamkuta Tundu Lissu Ndo Wakili.....
 
uuhh jamiiforum ni mtandao wa chadema kuna wakat wanashindwa kujcha kabisa..ndomana humu ndan ukiandka habar za kushoto za watu wa chadema znatolewa haraka au kuhamishwa dah hatar sana watu wanamtukana rais wala hawaban ila mtu mwngne akisema fulan mjinga basi wanakuban daaah kwel jamiichadema ahsante sana
Una uhakika na unachosema au mihemko inakusumbua
 
uuhh jamiiforum ni mtandao wa chadema kuna wakat wanashindwa kujcha kabisa..ndomana humu ndan ukiandka habar za kushoto za watu wa chadema znatolewa haraka au kuhamishwa dah hatar sana watu wanamtukana rais wala hawaban ila mtu mwngne akisema fulan mjinga basi wanakuban daaah kwel jamiichadema ahsante sana
Unaumiaaaaa poleeee acha akina Mushi wajitanue wewe kacheze chattle airport
 
Mie sio mwanasheria ila nadhani unapokuwa unafanyiwa cross examination unatakiwa ujibu maswali kama unavyoulizwa, na hapo ndipo inapokuwa shida, ukienda kinyume tu na swali kwa nia ya kutaka kumtoa nje ya mstari wakili unarudishwa palepale na hakimu/judge. Anakurudisha uendelee kuulizwa maswali hata kama ni ya kuudhi.

Nakumbuka kwenye kesi ya magabacholi wakati wa Mtikila, wafuasi wake walikamatwa kwa kuzua tafrani baada ya mkutano wake Jangwani, huku wakiimba Mtikila Oyee na kuwatusi magabacholi.

Wakati wa kesi shahidi aliulizwa na Lamwai;

Lamwai: Hawa mliowakamata ni wafuasi wa Mtikila?
Shahidi: Ndio ni wafuasi wa Mtikila
Lamwai: Mlijuaje kuwa ni wafuasi wa Mtikila
Shahidi: Walikuwa wanaimba Mtikila, Mtikila, Mtikila huku wanatukana Magabacholi
Lamwai: Naomba uimbe, Mtikila, Mtikila...
Shahidi: Hapana siwezi kuimba
Hakimu: Tafadhali shahidi imba kama ulivyoelekezwa
Shahidi: Mtikila, Mtikila...
Lamwai: Je wewe ni mfuasi wa Mtikila?
Hiyo inaonesha jinsi ambavyo shahidi anapokuwa na wakati mgumu sana mahakamani hata kama ana uwezo na akili nyingi.
Mkuu, nimecheka sana mpaka macho yanauma. Hii ni hatari sana.
Kwenye kesi ambazo polisi wamemfungulia Lisu, watalia na kusaga meno mahakamani. Hivi karibuni Rpc wa Ilala aliambiwa ahesabu aya za gazeti moja, akasema hawezi kuhesabu, Hakimu akamwambia ahesabu zote mpaka amalize. Naamini kile kitendo kilimuuma sana sana.
 
This is like Jesus on the cross all over again.

Sent from my Kimulimuli
 
Ccm wote wawe banned jf..

Sent from my GT-S5310I using JamiiForums mobile app
 
Kwa nukuu hizo!Lissu Ni Bonge la Jurist!Kusimama nae mahakamani inabidi uwe na uhakika kuwa hakuna gaps(Lacuna)
 
Lissu unawanyanyasa sana watu wewe, until they feel inferior

Sent from my itel it1516 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom