kila swali SIJUI...........kudadadeki chezea jfJr, mbona umetoa maoni mapema! tunaomba tushinde, tuwe na subira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila swali SIJUI...........kudadadeki chezea jfJr, mbona umetoa maoni mapema! tunaomba tushinde, tuwe na subira
Labda wanataka kumziba mdomo kwa kutoa taarifa zao hadharani au kile chombo cha uchunguzi kina wahusika ndani.Kwan wanataka wamjue huyo Furhar ili iweje sasa?
Nilitegemea serikali ifutilie habari aliyoileta na kuwafungulia mashtaka hao Oilcom, wao wanatumia nguvu nyingi kumpata mleta taarifa!
Hahaha wengine wataingia kwenye maandakiNawaza itokee ndio kina Max wameshindwa kesi halafu wanatakiwa kutoa data base!
Sio rahisi kiivyo unavowazaNawaza itokee ndio kina Max wameshindwa kesi halafu wanatakiwa kutoa data base!
Una uhakika na unachosema au mihemko inakusumbuauuhh jamiiforum ni mtandao wa chadema kuna wakat wanashindwa kujcha kabisa..ndomana humu ndan ukiandka habar za kushoto za watu wa chadema znatolewa haraka au kuhamishwa dah hatar sana watu wanamtukana rais wala hawaban ila mtu mwngne akisema fulan mjinga basi wanakuban daaah kwel jamiichadema ahsante sana
Unaumiaaaaa poleeee acha akina Mushi wajitanue wewe kacheze chattle airportuuhh jamiiforum ni mtandao wa chadema kuna wakat wanashindwa kujcha kabisa..ndomana humu ndan ukiandka habar za kushoto za watu wa chadema znatolewa haraka au kuhamishwa dah hatar sana watu wanamtukana rais wala hawaban ila mtu mwngne akisema fulan mjinga basi wanakuban daaah kwel jamiichadema ahsante sana
Hawa Lazima walambwe miaka.Una uhakika na unachosema au mihemko inakusumbua
Mkuu, nimecheka sana mpaka macho yanauma. Hii ni hatari sana.Mie sio mwanasheria ila nadhani unapokuwa unafanyiwa cross examination unatakiwa ujibu maswali kama unavyoulizwa, na hapo ndipo inapokuwa shida, ukienda kinyume tu na swali kwa nia ya kutaka kumtoa nje ya mstari wakili unarudishwa palepale na hakimu/judge. Anakurudisha uendelee kuulizwa maswali hata kama ni ya kuudhi.
Nakumbuka kwenye kesi ya magabacholi wakati wa Mtikila, wafuasi wake walikamatwa kwa kuzua tafrani baada ya mkutano wake Jangwani, huku wakiimba Mtikila Oyee na kuwatusi magabacholi.
Wakati wa kesi shahidi aliulizwa na Lamwai;
Lamwai: Hawa mliowakamata ni wafuasi wa Mtikila?
Shahidi: Ndio ni wafuasi wa Mtikila
Lamwai: Mlijuaje kuwa ni wafuasi wa Mtikila
Shahidi: Walikuwa wanaimba Mtikila, Mtikila, Mtikila huku wanatukana Magabacholi
Lamwai: Naomba uimbe, Mtikila, Mtikila...
Shahidi: Hapana siwezi kuimba
Hakimu: Tafadhali shahidi imba kama ulivyoelekezwa
Shahidi: Mtikila, Mtikila...
Lamwai: Je wewe ni mfuasi wa Mtikila?
Hiyo inaonesha jinsi ambavyo shahidi anapokuwa na wakati mgumu sana mahakamani hata kama ana uwezo na akili nyingi.
mkuu imekuwaje huko?Kwa nukuu hizo!Lissu Ni Bonge la Jurist!Kusimama nae mahakamani inabidi uwe na uhakika kuwa hakuna gaps(Lacuna)
sasa viwanda vinahusika na nini hapa.Eti hii ndio nchi ya viwanda.
hahahaha sio kwa hasira hizoCcm wote wawe banned jf..
Sent from my GT-S5310I using JamiiForums mobile app