Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

There is a need of re-opening this case on JamiiForum's Intelligence Forum. Home of GT.
 
Kesi ulienda mahakama kuu wakaonekana wana makosa
Kesi ikaenda mahakama kuu wakaonekana wana makosa
Kesi ilienda hadi mahakama ya afrika waliomba
Review ya Kesi hii wakaonekana wana makosa
Sasa kama mimi bado sielewi elewi

Ova
 
Inawezekana walikuwa trained kusema hayo. Hii kesi ina ukakasi mwingi sana. Ila tungeamini maamuzi ya mahakama na hawa wabakaji wangeendelea kukaa huko.
Naona hapa ilikuwa ni ushahidi wa hao watoto dhidi ya ushahidi wa washitakiwa. Sijui ni kwanini lakini sikuwahi kuamini ushahidi wa hawa watoto. Hata hivyo siuoni usahihi wa kuwaacha huru kama mahakama ilishawatia hatiani. Kama kesi ingekuwa yabkubambikizwa wangeshinda kwenye appeal; hata wakili wao ameshangaa japo amefurahia pia.

Dada mmoja, hapo zamani za kale aliwahi kuniamvia kuwa yeye alikuwa mwalimu katika shule waliokuwa wakisoma watoto hao na anachokumbuka ni maneno ya hao watoto mahakamani na alipata shida kuwaamini ila ilibidi wakubali matokeo.

Kama ni kweli babu na kijana wake waliwafanya hao watoto vitu vibaya laana itawafuata. Kama hao mabinti walifindishwa kusema uongo ili hatimaye babu na vijana wake waonewe wao pia na wote walioshiriki kutengeneza zengwe hilo watakutana na ghadhabu ya Mungu.

Kama JPJM Amewaachia wabakaji kwa sababu za kisiasa laana zitaambatana naye pia.

Kamwe, ukweli haujawahi kuwa na maficho ya kudumu. Siku zote katika historia 'wakati' umekuwa adui wa kudumu wa uongo.

Time will tell!
 
Kama ingekua ni kweli,hao watoto wasingeweza hata kutembea siku hiyo hiyo,wangejulikana tu wameliwa
 
Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?
....Sijui mwanzoni but kwenye rufaa alikuwepo wakili Marando, na aliwezesha wawili kati yao kuachiwa huru. Mwanzoni walifungwa wanne...
 
Ni kweli mkuu..

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Usinifanye nicheke,siongelei nadharia hapa.Nenda magerezani uone uozo uliofanywa na high court pamoja na supreme court(court of appeal).
 
have you ever been a prosecutor dadangu? nisijekuwa naongea na mtu aliyesoma sociology.
Wewe ni upuuzi kama mpuuzi mwingine,do you have a proof of having been a prosecutor? Mimi ni DPP mstaafu,,,,what do you want to say.Mimi ni dume na ninapiga sisi tano kwa siku wiki nzima angalia iishe kujuta.
 
Kwa hiyo kesi ya babu Seya inaweza kurudi kwenye litigation? Tuanze hapo.
 
Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?
Watu wakimpenda mtu huwaambii kitu, uovu walifanya kwa walio karibu waathirika hawana shaka na hilo, ila sema kwa hali ya nchi yetu kwa uwezo na umaarufu wao bila fitina wasingefungwa! Wanasheria wao ni wazoefu sana wasingeshindwa na ushahidi wa kutungwa kwa watoto wa miaka 9!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…