Pamoja ya kuwa mtafanyiwa fever na mahakama za magufuli. Lakini chini ya mawakili mahili wasomi wakiongozwa na Kibatala, mjiandae kuvuliwa pichuhoja ni kwamba usifikiri kina halima hawana akili waende mahakamani kushitaki huku wakijuwa walifiji ndugu hapo mbowe na mnyika wanaumbuka mapema mno
Ndo kwanza moto umelipuka upyaaPamoja ya kuwa mtafanyiwa fever na mahakama za magufuli. Lakini chini ya mawakili mahili wasomi wakiongozwa na Kibatala, mjiandae kuvuliwa pichu
Wewe una uthibitisho kuwa mnyika ndio aliesaini hiyo form?? Kama kuna huo ukweli kwanini covid-19, bunge na NEC wasitoke hadharani kuthibitisha kuwa chadema, mnyika au Mbowe walihusika??Lete uthibitisho achana na hearsay
Yaleyale mtu anahojiwa BBC anasema wenzie na Mbowe walishahukumiwa tayari wanatumikia vifungo vyao,kwenda mahakamani Swila anamkana mtu mchana kweupeee. Ndugu mazingaombwe ya CCM watu waliyshayachoka wanawasubiri wao wajitekenye ndio wayamwage kwa umma.Ingekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana😁
Kila jambo na muda wake, timing is very important to note.Mbona mashitaka mengine huwa yanapelekwa na mawakili wa CHADEMA? KWANINI hili mnaloita kuwa Halima amefoji hamjawahi kwenda hata kulalamika kituo cha polisi wala kukusudia kushitaki?
Uovu wa CCM upo wazi miaka nenda rudi. Hii kwa maovu ni ishu ndogo sana.Good hii itasaidia sn kujua uovu wa CCM
Subiri filam ndio ina anza. Mlibeza wakati kesi ya kubumba ya Mbowe mwisho mlipo ona mna adhirika mka omba poo. Sasa endeleeni mvuliwe chupi.Ingekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana[emoji16]
Watu wataikimbia mahakamaKwani aliyesaini hajulikani?
Aliye authorize mmoja wa hao Covid19 kutolewa gerezani(this doesn't mean that I know the person who authorized it) usiku na kupelekwa Idodomya na kuapishiwa kwenye mahema is part and parcel of the whole fucking fracas that occurred, yaani hiyo kabla hata ya hizo forgery documents ni kwamba Officer in charge wa gereza husika akibanwa na mahakama lazima atausema ukweli then mtiririko wa documents za kufoji na mengineyo vitafuata.Mimi naona Kubenea akitumia Gazeti hili kwa niaba ya Chadema ili kuwatisha kina Mdee wafute kesi kabla ya vigogo wa Chadema hawajaumbuka kuhusu Signature iliyoko kwenye nyaraka zao huko Mahakamani.
Nani alisaini nyaraka za kina Mdee kwenda NEC na Bungeni?
Kwa mahakama ipi?Ingekuwa kuna nyaraka imeghushiwa si wangeshitakiwa zamani sana😁
Mkuu unahisi atatapika nyongo yaani ataisaliti CCM?Nataka Ndugai aitwe mahakamani
Ngoja tumuulize Wigwa🚶Kwani aliyesaini hajulikani?
Ntu ya mafweza😝
Kaachana na ccm kakimbilia upinzani.Marehemu lazima atakuwa kageuka kaburini
Salute Mkuu..Aliye authorize mmoja wa hao Covid19 kutolewa gerezani(this doesn't mean that I know the person who authorized it) usiku na kupelekwa Idodomya na kuapishiwa kwenye mahema is part and parcel of the whole fucking fracas that occurred, yaani hiyo kabla hata ya hizo forgery documents akibwana Officer in charge wa gereza husika akibanwa na mahakama lazima atausema ukweli then mtiririko wa documents za kufoji na mengineyo vitafuata.
Hatari sana .....CHADEMA shikamoo
.