PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni kama ukisikia mtu amechukuliwa mateka, hivi mateka hiwa wanaleta ubishi? si huwa wanatii mtekaji ili waongeze chance za kutoka salama
Mkuu 'Lax', nikikusoma hadi nakuonea huruma sasa kwa kiasi cha ujinga (samahani kwa kutumia neno hili, ila ndio ukweli) unachojaribu kukitumia kama kinga yako ya kutetea uovu.

Ukweli ni kuwa wewe siyo "mjinga", ila unatumia mbinu hiyo kupitisha upuuzi unaoutetea bila hata ya aibu.

Huu utamaduni wa kilaghai huu, huwa mnafundishwa mngali wadogo; mbona kila anayeibuka humu JF mbinu ni zilezile kama anazotumia Samia na Genge lake?

Na kweli mnaamini waTanzania ni majuha kiasi cha kufanyiwa hadaa za aina hii?
 

mkuu ngoja tusubiri majibu ya tume na muelekeo wa serikali utakua upi baada ya tathmini ya tume.

mkuu kwa tulipofika all or nothing, naona inaenda kua ngumu
msome Kiranga july 25, 2025



mkuu kalamu waovu ndo wameshika mamlaka hapa lazima tuamue vitu vya kugawana, mi najua tunashindwa kuelewana kwa sababu ya machungu ya oktoba 29 tu
 
Wametengebeza mpaka hicho kizimba?

Watamnyonga aisee.
 
Acha mzee wa watu apumzike kwa amani.

Alifanya yake , tuliobakia tuna wajibu wa kuendelea alipoacha.
Ndo muasisi wa utekaji na mauaji
Pia ndo aliasisi kunajisi chaguzi, kubambikia watu kesi na kuonea wapinzani.
Huyo Watanzania tunamlaani
 
Ikiwa mlimkosa pale Area D dodoma, huyo muhaini bado yupo sana na tutakuwa nae nje mapema sana.

Kinachofanyika hapo ni kumnyanyasa na kumpotezea muda tu ili yule mama yenu akae bila kupigwa SPANNER
gentleman,
hakauana haja ya kuweweseka, muhaini kibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi hatoboi
 
Huwa sibahatishi juu ya watu wa aina yako. Nimejibishana nao kiasi humu JF, na kila mara mwisho huwa ni bayana kabisa, kwa wao kujifunua waziwazi, kama unavyoelekea sasa hivi wewe mwenyewe.

Mwovu yeyote siku zote hufikiri uovu wake utamlinda daima; kwa hiyo hili siyo la ajabu kwenu kufikiri hivyo.

Ujuha wenu ni kudhani waTanzania ni mateka wenu, kwa hiyo hawawezi kujiondoa kwenye hali hiyo.
Hiyo mitutu unayoiona na kujivunia, ni swala la dakika chache tu, inabadilisha hali. Jiandae kila dakika inayopita, huenda ndiyo ya mwisho kwenu. Hili hamna uwezo wa kulizuia tena.
 

Mkuu mjumbe hauwawi,

Mkuu mi nakuonesha uhalisia wa mambo , mi na tathmini nachokiona.

Suala nalolipinga kwa nguvu zote ni kuaminishana vitu visivyowezekana, hao watanzania unaowasema ushajiuliza kwanini waliotoka okt 29, hawakutoka d9, au d25 au j1, --- mkuu kama kweli upo honest nipe analysis yako kwenye hili
 
Akili yako ni mbovu sana wewe, huna tofauti na hiyo misukule mingine ninayokutana nayo kila mara humu JF.

Wewe ni nani kujuwa "uhalisia wa mambo" zaidi ya wengine; huo uhalisia umepewa na Samia anayekufuga kama nguruwe, ili uje hapa JF na laghai kama hizi ?

N "vitu gani visivyowezekana"? Unapolishwa masalia ya chakula anachokutupia Samia akili zote zinakuruka kichwani, na kufikiri kuwa huyo Samia ndio mungu wako?

Tambua hili, safari nyingine hamtawaua waTanzania kama wanyama wakati nyinyi mkibaki salama. Hilo ndilo unapashwa kwenda kumweleza huyo mfugaji wako anayekuleta humu jukwaani kueneza upumbavu..
 
Reactions: Lax
Mkuu samia asipo fika 2030 njoo unitag
 
Mkuu samia asipo fika 2030 njoo unitag
Sina sababu wala haja ya kufanya upuuzi kama huo.
Wewe unayemtegemea kwa kila kitu hata humu JF hutaonekana tena mara tu atakapowajibishwa na waTanzania wenyewe.

Jiandae tu kwa hali hiyo isiyoepukwa.
 
Sina sababu wala haja ya kufanya upuuzi kama huo.
Wewe unayemtegemea kwa kila kitu hata humu JF hutaonekana tena mara tu atakapowajibishwa na waTanzania wenyewe.

Jiandae tu kwa hali hiyo isiyoepukwa.
BAsi mi ntakukumbusha mkuu,

Mkuu utakua umekumbwa na mawazo ya kichadema ya kina hilda newton,

Maandamano yakifanikiwa utamsikia akifurahi sana.

Yakifeli anakwambia maandamano ni sayansi wameandamanishwa polisi


Stuka mkuu na piga tathmini binafsi, hivi vitu wala sio vigumu kuviona
 
Mbona kama tundu la njiwa? Ila hawa mashahidi wanadhalilika sana aisee! Inakuwaje mwanaume mzima anakubali kuchuchumalishwa humu kama vile mwanamke anayepigwa miti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…