Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume😂😂😂Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.
Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume
MUNGU ibariki tanganyika.
MUNGU ibariki tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
Yani ata lissu amekuja na mbinu ngumu sana ya kupambana naoKabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.
Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume
MUNGU ibariki tanganyika.
MUNGU ibariki tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
Ni kamati kuu ya CCMMnajifariji aisee
Mnadhani mahakama ni kamati kuu ya chadomo ee?
Wewe kama nani? Ni Jaji tu wa kesi hiyo ndiyo mwenye mamlaka na tarehe za kesi.Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.
Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume
MUNGU ibariki tanganyika.
MUNGU ibariki tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
Mnajifariji aisee
Mnadhani mahakama ni kamati kuu ya chadomo ee?
Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume😂😂😂
Wanamdanganya World Bank kwa Sababu yuko mbali, Washington huko.Kukurupuka.
Sasa wanafanya mikutano ya hadhara na wanafunzi wa sekondari wanaolazimishwa kuja kwenye mikutano na nguo za nyumbani.
Wanamdanganya nani?
Wana shindana na nani?
Mungu ana miujiza yake.Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.
Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume
MUNGU ibariki tanganyika.
MUNGU ibariki tanzania.
MUNGU bariki watanzania.
Hehehe.....yakweli haya?Kukurupuka.
Sasa wanafanya mikutano ya hadhara na wanafunzi wa sekondari wanaolazimishwa kuja kwenye mikutano na nguo za nyumbani.
Wanamdanganya nani?
Wana shindana na nani?
Mbinu ya kutoshiriki Uchaguzi ndio mbinu pekee ya mwisho kabisa ilyowashinda wengine. Mbinu hii pia ina madhara kwa chama. Faida ni nyingi zaidiYani ata lissu amekuja na mbinu ngumu sana ya kupambana nao