PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
 
Kesi ya lissu: Majaji wapitisha shahidi asikilizwe kwa kufichwa bila wao wenyewe kumuona kinyume cha sheria ni shinikizo la serikali haramu
Kama unatafuya ushindi kupitia mahakama yetu, utakufa na stress bure.
 
Wakikubali mapingamizi ya Tundu, mnasema Tundu mwalimu wa sheria. Wakikataa mapingamizi mnasema shinikizo la Serikali.

Tatizo mnabweteka sana na.mbwembwe za Tundu akiwa kizimbani, anavyorusha mikono, anavyofungua makabrasha ma anavyoongea.

Ila Tundu ni mwanasheria wa average intelligence tu, siyo genius kama mnavyotakq tuamini
Ila wauwaji na watekaji ndio magenius wako mnao waona wa maana na sio wanao wateteeni nyinyi masikini mnaolipwa buku saba
 
Ila wauwaji na watekaji ndio magenius wako mnao waona wa maana na sio wanao wateteeni nyinyi masikini mnaolipwa buku saba
Tundu alisema atakinukisha kwelikweli na uchaguzi hautafanyika. Na kweli tuliona zile vurugu siku ya tarehe 29/ 10/ 25.

Muache anuke yeye sasa
 
MUNGU uliye hai, mtetezi wa Wanyonge, wasio na mtetezi, wewe ndo mtetezi,, Jitukuze Mungu kwa ajiri ya mtumwa wako Lissu

Mhurumie na Rehema zako ziwe juu yake
 
MUNGU uliye hai, mtetezi wa Wanyonge, wasio na mtetezi, wewe ndo mtetezi,, Jitukuze Mungu kwa ajiri ya mtumwa wako Lissu

Mhurumie na Rehema zako ziwe juu yake
Unapoteza muda,
Hao watesi wake Lissu mwenyewe wanamuombea mungu au Allah.
 
Wakikubali mapingamizi ya Tundu, mnasema Tundu mwalimu wa sheria. Wakikataa mapingamizi mnasema shinikizo la Serikali.

Tatizo mnabweteka sana na mbwembwe za Tundu akiwa kizimbani, anavyorusha mikono, anavyofungua makabrasha ma anavyoongea.

Ila Tundu ni mwanasheria wa average intelligence tu, siyo genius kama mnavyotakq tuamini
Angekua "average" mgemwacha mshindane naye mtaani, sasa mmemfunga pingu, yupo jela lakini bado anawagalagaza. Mlifikiri mkimfunga ndani ataweweseka, mnashangaa anakuja mahakamani na makabrasha yake anacheka na hao mawakili wenu wa serikali ambao wana viyoyozi masaa 24 wanaweweseka.

Mna hofu sana sasa hivi hata kumwachia mnaogopa, kumfunga hamuwezi
 
Wakikubali mapingamizi ya Tundu, mnasema Tundu mwalimu wa sheria. Wakikataa mapingamizi mnasema shinikizo la Serikali.

Tatizo mnabweteka sana na mbwembwe za Tundu akiwa kizimbani, anavyorusha mikono, anavyofungua makabrasha ma anavyoongea.

Ila Tundu ni mwanasheria wa average intelligence tu, siyo genius kama mnavyotakq tuamini
Utakuwa mjinga kama utatumia mahakama zetu kama kigezo cha kujua mwanasheria anazijua sheria. Na kwa taarifa yako Lisu anajua sheria, maana hata hayo yakwakwe yanayokubaliwa kishingo upande, ni kwa vile mahakama inafikia mahali inaona aibu. Lakini ingekuwa kama mahakama za Kenya kesi ingekuwa iliisha muda mrefu. Kinachoendelea hapo mahakamani dhidi ya Lisu, si kesi ya kisheria, bali ni ukomoaji wa kisiasa.
 
Suala la wao (Majaji) kuwaoana mashahidi wamesanuliwa na Lissu, wenyewe walikuwa wapo tayari kutowaona. Walikuwa wapo tayari kusikiliza kesi bila wao (Majaji) kuwaona mashahidi.😄

Wapo "blindfolded" wazee wa watu. Ha ha ha
 
Back
Top Bottom