PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Suala la wao (Majaji) kuwaoana mashahidi wamesanuliwa na Lissu, wenyewe walikuwa wapo tayari kutowaona. Walikuwa wapo tayari kusikiliza kesi bila wao (Majaji) kuwaona mashahidi.😄

Wapo "blindfolded" wazee wa watu. Ha ha ha
Yaani hao majaji hawajui lolote, ili mradi wako kwenye ajira, na huwa wanahukumu wasiojua sheria linasonga hivyo hivyo. Lakini hata hao majaji wanajua ni kwa kiwango wako kwenye muhimili usio na meno.
 
Mkuu pamoja na hayo yote ila formality iwepo ili ionekane kwamba wako kazini, nawenyewe wanajua hilo, mfikie mahara muaonee huruma na wenyewe wanapenda ujira wao.
😂😂😂😂😂😂
 
Ok, kwahyo Lisu kakubali majaji wawaone mashaidi wa siri bila yeye kuwaona ebu nielewesheni kidogo hapo..Kwahyo Lisu kawaamini majaji?
Hajakubali maana majaji ndio wenye uamuzi kwa hapo mahakamani. Kama vipi ataenda kwenye mahakama ya rufaa. Kumbuka Lisu hashinikizi sheria zifuatwe bali anasema inavyopaswa kuwa, na mahakama inaamua itakavyo au kwa mujibu wa sheria. Ila kwa ilivyo mahakama zina maagizo ya kumkomoa toka juu.
 
Tundu alisema atakinukisha kwelikweli na uchaguzi hautafanyika. Na kweli tuliona zile vurugu siku ya tarehe 29/ 10/ 25.

Muache anuke yeye sasa
Yeye ndie aliye andamana, unajua kwenye maandamano polisi waliuwa watu je kuuwa watu na kufanya vurugu lipi kosa kubwa ? kwanini wameachwa ? hivi kichwani zimo wewe mpumbavu
 
Hajakubali maana majaji ndio wenye uamuzi kwa hapo mahakamani. Kama vipi ataenda kwenye mahakama ya rufaa. Kumbuka Lisu hashinikizi sheria zifuatwe bali anasema inavyopaswa kuwa, na mahakama inaamua itakavyo au kwa mujibu wa sheria. Ila kwa ilivyo mahakama zina maagizo ya kumkomoa toka juu.
sawa
 
Utakuwa mjinga kama utatumia mahakama zetu kama kigezo cha kujua mwanasheria anazijua sheria. Na kwa taarifa yako Lisu anajua sheria, maana hata hayo yakwakwe yanayokubaliwa kishingo upande, ni kwa vile mahakama inafikia mahali inaona aibu. Lakini ingekuwa kama mahakama za Kenya kesi ingekuwa iliisha muda mrefu. Kinachoendelea hapo mahakamani dhidi ya Lisu, si kesi ya kisheria, bali ni ukomoaji wa kisiasa.
Mnawalamba sana matako Wakenya. Kila kitu mnaiga Kenya
 
Ok, kwahyo Lisu kakubali majaji wawaone mashaidi wa siri bila yeye kuwaona ebu nielewesheni kidogo hapo..Kwahyo Lisu kawaamini majaji?
Lissu anataka majaji nao wapigwe butwaa wakiwaona hao mashahidi wenyewe hasa. Walikuwa radhi kuepuka zigo hilo na kujidai hawawajui!

Yeye atakuwa akizisoma nyuso za majaji na kupiga cross examination ya uhakika huku akiendelea kusoma nyuso za majaji.
 
Yeye ndie aliye andamana, unajua kwenye maandamano polisi waliuwa watu je kuuwa watu na kufanya vurugu lipi kosa kubwa ? kwanini wameachwa ? hivi kichwani zimo wewe mpumbavu
Unawaachaje watu wanachoma miundombinu? Watu wanaiba mali za watu?
 
Majaji wa Tanzania ni kama mahouseboy wa Samia tu hata akitaka kuwatia Madole watabong'oa tu huku wanakatika miuno na kuchekelea, hovyo kabisa.
 
Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa siri. Lissu alidai mahakamani kuwa, hata kama sheria ya ulinzi wa mashahidi ingekuwa na uhalali wa kutumika, shahidi huyo alipaswa kuonekana na majaji. Alieleza kuwa hata majaji wanaendesha shauri bila kumuona shahidi huyo, jambo ambalo ni kinyume na utaratibu.

Mahakama imekubaliana na pingamizi hilo na kuelekeza kufanyika maboresho ya kizimba maalum ili mashahidi wa siri waweze kuonekana na majaji.

Fuatilia mwenendo wa kesi hapa > Kesi ya uhaini ya Lissu, mahakama kutoa uamuzi wa mapingamizi leo Feb 11, 2026

Mapingamizi mengine manne, ikiwemo kuhusu uhalali wa sheria ya kulinda mashahidi, yametupiliwa mbali kutokana na kile kilichoelezwa kuwa yamekosa mashiko. Baada ya uamuzi huo, kesi hiyo imeahirishwa hadi kesho, Februari 12, 2026 ambapo upande wa mashtaka utaanza kuwasilisha mashahidi wao, wakiwemo mashahidi wa siri na wale wasio wa siri ambao ni pamoja na askari 19.

Hata hivyo Wakili wa CHADEMA Rugemeleza Nshala amesema, Mahakama kuu imetupilia mbali mapinganizi manne aliyowsilisha Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kukubali pingamizi moja kati ya matano la kurekebishwa kizimba cha Mashahidi wa siri.

Mimi ningekuwa judge ama ningekuwa nimeshauawa na Serikali ya majambazi au wangehakikisha sipangiwi kesi ambazo nia yake ni kulinda maslahi ya mtandao wa majambazi.
 
Back
Top Bottom